Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #2,501
*Ndugu zangu Habari
Siku hizi kumekuwa na muendelezo wa watu kuwa tagged na video za ngono kwenye mtandao wa Facebook.
Jambo hili limezua sintofahamu miongoni mwa jamii baada ya kuona picha na video zisizo na staha kwa mtu mwenye heshima zake,
Ili kuepuka kuwa tagged kwa video au Picha chafu, fanya yafuatayo:-
👇🏽👇🏽
🖊️Ingia kwenye Settings ya Facebook Account yako kisha nenda Audience and Visibility halafu nenda Profile and Tagging.
🖊️Ukishafika hapo Profile and Tagging utakuta kuna machaguo mawili la kwanza linahusu Viewing and Sharing.
🖊️Kwenye 'Who can post on your profile' chagua 'Only Me' vivyo hivyo kwenye 'Who can see what others post on your profile' chagua 'Only Me.'
🖊️Pia, kwenye Tagging lile chaguo la kwanza lililoandikwa, 'Who can see posts you're tagged in on your profile' chagua 'Only Me'.
🖊️Aidha, pale kwenye option ya 'When you're tagged in a post, who do you want to add to the audience of the post if they can't already see it' napo chagua 'Only Me.'
Baada ya hapo account yako itakuwa Safe from being tagged
Sharing is caring.
Mfahamishe na mwenzako.
🚶🏻♂️🚶🏻♂️