The war and the way elected leaders, chief executives, entertainers and the public respond to it have become societal flashpoints. The fallout has been wide ranging, affecting universities, company morale, job opportunities, union solidarity and even performers’ relationships with fans.
Wanasema wao wanachopata kwa sasa ni Trilioni 7.1 tu kutoka TPA ambayo ni asilimia 10 tu ya makusanyo yote ya TPA nyingine yaani 90% ya mapato hubaki TPA! Stop lying!
Huu ni uongo usiyo na mshindani. Tangia nizaliwe sijaona watawala wanaongopa kama hawa.
Awamu zote zilizopita hawajawahi kutia chumvi kama hawa majamaa ni lazima sasa tuwape maua yao na shada juu la kuongopa na khofu ya Mwenyezi Mungu hawana hata chembe!
Mara 6 ya Trilioni 7.1 jumla yake ni Trilioni 42.6 lakini wanajipinga wenyewe kwa kuahidi baada ya miaka 10 kuanzia sasa yaani mapato ya serikali kutoka bandari ya Dar yatapaa na kufikia Trilioni 26 mwaka 2022.
Kwanini mwakani yasiwe trilioni 42.6 kama TPA hukulipa 10% tu ya makusanyo yao na sasa umempata msitiri atakayekulipa 60%? 60% ni mara 6 ya 10% sasa kwanini tusubiri miaka kumi kupata Trilioni 26 wakati kodi ni mara 6 ya kile TPA walikuwa wakitupatia?
Migongano hii ni matunda ya ufisadi hayana maelezo mengine!
Swali la kwanza tunalowaomba watujibu je wanajua kama wao hupata 10% tu ya mapato yote ya TPA hiyo inamaanisha makusanyo yote kwa mwaka ya TPA ni Trilioni 71?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.