Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Most divisive issue todate!
 

Attachments

  • PSX_20231023_002654.jpg
    PSX_20231023_002654.jpg
    283.5 KB · Views: 4
The war and the way elected leaders, chief executives, entertainers and the public respond to it have become societal flashpoints. The fallout has been wide ranging, affecting universities, company morale, job opportunities, union solidarity and even performers’ relationships with fans.
 
Takwimu zote za jana za serikali wakati wanasherehekea ulaji wao wa DP WORLD ni za kupika ili kuhalalisha kuikodisha bandari ya Dar kwa DP WORLD
 
Hebu tudadavue baadhi ya upotolo wao kwa kuupapasa kidogo tu
 
Wanasema wao wanachopata kwa sasa ni Trilioni 7.1 tu kutoka TPA ambayo ni asilimia 10 tu ya makusanyo yote ya TPA nyingine yaani 90% ya mapato hubaki TPA! Stop lying!

Huu ni uongo usiyo na mshindani. Tangia nizaliwe sijaona watawala wanaongopa kama hawa.

Awamu zote zilizopita hawajawahi kutia chumvi kama hawa majamaa ni lazima sasa tuwape maua yao na shada juu la kuongopa na khofu ya Mwenyezi Mungu hawana hata chembe!
 
Wanasema huyu mwekezaji atawapatia 60% yaani mara 6 ya wanachopata kutoka kwa TPA
 
Mara 6 ya Trilioni 7.1 jumla yake ni Trilioni 42.6 lakini wanajipinga wenyewe kwa kuahidi baada ya miaka 10 kuanzia sasa yaani mapato ya serikali kutoka bandari ya Dar yatapaa na kufikia Trilioni 26 mwaka 2022.

Kwanini mwakani yasiwe trilioni 42.6 kama TPA hukulipa 10% tu ya makusanyo yao na sasa umempata msitiri atakayekulipa 60%? 60% ni mara 6 ya 10% sasa kwanini tusubiri miaka kumi kupata Trilioni 26 wakati kodi ni mara 6 ya kile TPA walikuwa wakitupatia?

Migongano hii ni matunda ya ufisadi hayana maelezo mengine!
 
Pia wanatoa ahadi hewa ya kuwa ndani ya miaka 10 mapato ya serikali yatapaa kutoka Trilioni 7.1 hadi Trilioni 26+
 
Swali la kwanza tunalowaomba watujibu je wanajua kama wao hupata 10% tu ya mapato yote ya TPA hiyo inamaanisha makusanyo yote kwa mwaka ya TPA ni Trilioni 71?
 
Wanataka kutusadikisha ya kuwa TPA makusanyo yao yanazidi hata bajeti nzima ya serikali?
 
Wanataka kutusadikisha TPA hukusanya zaidi ya thamani ya mizigo yote wanayoihudumia
 
If you believe this NONSENSE then you must be OUT OF YOUR MIND!
 
Mapato kwa mwezi ya TPA June 2022 yalikuwa Trilioni 1.1 ambayo ni takribani 13. 2 Trilioni kwa mwaka!
 
Back
Top Bottom