Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Ninaamini
 

Attachments

  • 1699078175055.png
    1699078175055.png
    301 KB · Views: 1
Ufisadi chanzo chake ni sheria za uchaguzi kuanzia katiba
 
Mwenye nia ya kupunguza ufisadi nchini ataanza na marekebisho ya katiba
 
Vuguvugu la katiba mpya nao ni matapeli wanatuchelewesha
 
Hakuna kitu kinaitwa katiba mpya bali marekebisho ya katiba kwenye maeneo machache tu
 
Hata Afrika ya Kusini hawakuandika katiba mpya bali walirekebisha katiba yao
 
Katiba mpya ni pale huna katiba lakini kama unayo unachopaswa kudai ni kuirekebisha tu maeneo yote yenye ukakasi
 
Taarifa za kila mwaka za CAG zinathibitisha mfumo wa utawala uliopo ni batili kwani hauna uhalali kutoka kwa wananchi na hivyo hakuna uwajibikaji
 
Back
Top Bottom