Maoni yangu: Hao maafande wa tukio la binti wa Yombo Dovya hawatafungwa hata iweje

Katika hii nchi ukitoa Rais, watu wanaofuata kupigiwa magoti ni askari na hawa jamaa huwa wanafanya walitakalo na hii imethibitika katika vitu vingi sana.

Yaani kiufupi hao jamaa waliotuhumiwa kubaka na kulawiti hawatofungwa na wataishi maisha ya uraiani na kazi hawatofukuzwa sababu ni watu muhimu sana.

Sasa naona wabongo wanadanganyana sana eti watafungwa hivi si mliambiwa kesi ni siku tano haya mpaka leo siku tano si zimeshaisha Jana eti Kuna wakili kajitokeza kufungua kesi dhidi ya mawakili wanaowatetea MAAFANDE imepelekea kesi kusogezwa mbele mpaka kesi ya mawakili isikilizwe.

Hivi watanzania Kwa akili ya kawaida tu hamuoni kama hapo hamna kesi ya MAAFANDE yaani kesi imetoka Kwa maaafande imehamia kwa mawakili.

Cha kushauri tu mkae mkijua MAAFANDE watarudi uaraiani hii sio Tanzania ya magufuli na kesi hamna ipo hivyo yaani na majamaa yanadharau kweli kama yenyewe ndio wanaume pekee Tanzania.
Wapo wanaofungwa, kama kesi haiwagusi wakubwa. Kama kosa ni lake yeye huwa yanaeakuta
 
1.Eti, hata huko kazini hawawezi kufukuzwa. Wale Makomandoo wa Chadema waliokuwa pale Ngerengere mbona wao walifukuzwa itakuwa hivyo Vianajeshi vishoga?

2.Badala ya kumdhalilisha huyo Binti vyenyewe ndo vimedhalilika zaidi. Binti 1 amewamudu wote na ikabidi wajiboost kwa bangi na pombe, maana yake bila kujiboost hawawezi kufikishwa hata dk 10 wakipiga mashine. Hao si ni mademu kabisa? Ikitokea mmoja wao akakabidhiwa vidada kama vile 3 tu avit*mbe hadi viridhike si atakufa huyo Mwanajeshi uchwara?
 
Uhakika uliopo hadi kufikia sasa tayari wanaenda kula mvua zao za kutosha.

Hizo porojo zako kama umepiga cha Arusha baki nazo.
 
Kaka usilie Binti ameshaliwa na hao maafande hamna mtakalowafanya na watadunda mtaani kama kawaida
 
Ubakaji utaongezeka kwa kasi sana hata walio na kesi za ubakaji zitaisha kama hiyo itakavyoisha kisanaa..
 
Katika hii nchi ukitoa Rais, watu wanaofuata kupigiwa magoti ni askari na hawa jamaa huwa wanafanya walitakalo na hii imethibitika katika vitu vingi sana.

Yaani kiufupi hao jamaa waliotuhumiwa kubaka na kulawiti hawatofungwa na wataishi maisha ya uraiani na kazi hawatofukuzwa sababu ni watu muhimu sana.

Sasa naona wabongo wanadanganyana sana eti watafungwa hivi si mliambiwa kesi ni siku tano haya mpaka leo siku tano si zimeshaisha Jana eti Kuna wakili kajitokeza kufungua kesi dhidi ya mawakili wanaowatetea MAAFANDE imepelekea kesi kusogezwa mbele mpaka kesi ya mawakili isikilizwe.

Hivi watanzania Kwa akili ya kawaida tu hamuoni kama hapo hamna kesi ya MAAFANDE yaani kesi imetoka Kwa maaafande imehamia kwa mawakili.

Cha kushauri tu mkae mkijua MAAFANDE watarudi uaraiani hii sio Tanzania ya magufuli na kesi hamna ipo hivyo yaani na majamaa yanadharau kweli kama yenyewe ndio wanaume pekee Tanzania.

Pia soma>> Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani
 
Nini hiki sasa Sasa mwalimu na wewe raia mnautofauti hivi ulishawahi kusikia afande kagoma kisa mshahara
 
Uhakika uliopo hadi kufikia sasa tayari wanaenda kula mvua zao za kutosha.

Hizo porojo zako kama umepiga cha Arusha baki nazo.
Hamna kesi hapo Binti kashaliwa atafute kazi ya kufanya tu
 
1.Eti, hata huko kazini hawawezi kufukuzwa. Wale Makomandoo wa Chadema waliokuwa pale Ngerengere mbona wao walifukuzwa itakuwa hivyo Vianajeshi vishoga?

2.Badala ya kumdhalilisha huyo Binti vyenyewe ndo vimedhalilika zaidi. Binti 1 amewamudu wote na ikabidi wajiboost kwa bangi na pombe, maana yake bila kujiboost hawawezi kufikishwa hata dk 10 wakipiga mashine. Hao si ni mademu kabisa? Ikitokea mmoja wao akakabidhiwa vidada kama vile 3 tu avit*mbe hadi viridhike si atakufa huyo Mwanajeshi uchwara?
Pole sana mkuu usilie Binti ameshaliwa tope na kesi hamna hapo hii ndio tanzania
 
Kinachonisikitisha zaidi ni ile show mbovu waliyoifanya. Mmetuaibisha sana Wanaume wenzenu tuliko mtaani,kwamba Wanaume wenzetu mlioko jeshini ndo wachovu namna hiyo?🙆
 
Na wale wachimba mavi watatoka tu, sasa hivi wanazima upepo kwanza upite then jamaa wanatoboa street tena
 
Back
Top Bottom