mhanuzi wangu Senior Member Joined Dec 18, 2024 Posts 125 Reaction score 72 Dec 22, 2024 #1 Sipingani na ule msemo maarufu wa ukweli unauma, lakini leo Kuna baadhi ya mambo yamenifanya kuamini kuwa kumbe hata uongo,kusingiziwa jambo ambalo hukulifanya huwa inauma zaidi.
Sipingani na ule msemo maarufu wa ukweli unauma, lakini leo Kuna baadhi ya mambo yamenifanya kuamini kuwa kumbe hata uongo,kusingiziwa jambo ambalo hukulifanya huwa inauma zaidi.