Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Habari wana bodi ni matumaini Yangu kuwa wote ni wazima wa afya.
Mimi ni Kijana wa kitanzania miaka 23 pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Siku ya Leo nimewaza Sana ambayo yanaweza boresha sekta ya elimu na maisha ya walimu kwa ujumla kama ifuatavyo;
01. Kuwe na Kodi ya hiari ambayo Kila familia kwa mwaka iombwe iachangie elfu tano, ambapo pesa hiyo itakwenda moja Kwa Moja kwenye mfuko nao pendekeza uitwe mfuko wa elimu, ambapo pesa hiyo itumike kuboresha miundombinu ya elimu hasa vijijini.
02. Kuwe na Kodi ya lazima kwa kila Mbunge, waziri, das,Ras na Ded kwa mwaka wata kiwe kulipa elfu 100000 kama Kodi ya elimu ambapo pesa hiyo itakwenda kwenye ujenzi wa nyumba za walimu Kila mwaka
03. Kwenye boom za wanafunzi, Kila mwanafunz kwenye boom Yale atakiwe achangie elfu kumi kwenye Kila boom pesa hiyo iingie kwenye mfuko wa elimu.
Angalizo kuwe na usimamizi mzuri wa PESA hozo.