Maoni yangu jinsi ya kuboresha Sekta ya Elimu nchini

Maoni yangu jinsi ya kuboresha Sekta ya Elimu nchini

Hiyo mizunguko yote ya nini hadi kwenye boom? Njia za kupata pesa ni nyingi ila upuuzi, uzembe, ukiziwi na ungumbaru tu wa walioshikilia mpini.

Mfano serikali ikipunguza baraza la mawaziri kwa kuondoa na/au kuunganisha baadhi ya wizara mizigo, na ikapunguza malipo ya kufuru kwa wabunge (ambao wengi wao ni mizigo kama mafurushi ya misumari mle ndani), haitokuwa na haja ya kuwasumbua watanzania wanaopata mlo wao duni kwa tabu sana.
 
Back
Top Bottom