Nami najifunza tu kutoka kwa watu kama nyie! Hata wale wanaotukana kuna jambo najifunza pia, ndo maana huwa sirudishi matusi na hata unitukane kuwa wewe mbwa, kwa vile najijua ni binadamu, sitaudhika. Nakumbuka nishawahi kuambiwa kuwa ukifika no class ahead (permanent head damage) ujue wewe ni mjinga namba moja hapa duniani kwa hiyo unakuwa na kiu ya kujifunza =unakuwa mtafiti madhubuti. Ndiyo filosofia yangu. Kazi yangu kubwa hapa JF ni kutoa maono yangu kwa vile tumeanza kazi kabla ya nzee Ruksa