Maoni yangu kitalaamu kuelekea "fainali" dhidi ya Horoya

Mi naona Chama aende Azam tu maana Simba imebaki jina na wazee anaua kipaji na Yanga atakaaa benchi Hana kiwango tunachotaka.

Hilo la kudiscuss mchezaji Gani apangwe Namba ngapi ni kupoteza muda tu
Ila azizi ki, anacho kiwango mnachotaka ?
 
Ww una utaalam upi!!?? Hujawahi kukochi hata timu za chandimu. Punguzeni midomo yenu mirefu na dharau. Tz sasa hv kuna timu moja tu Jangwani. Na kwa taarifa yako huu ni mwanzo tu.
Umeandikaa ukajaribu kuficha upumbavu wako mwisho ukashindwa. Mpumbavu ni mpumbavu tu aisee ni ngumu kuuficha. Kafie mbele
 
Kocha Robertinho atakapoacha kumtumia Chama kama winga ndipo atapata matokeo zaidi ya haya, Chama hana speed kubwa, hawezi kumchukua beki akaanza kumkimbia ili apige Krosi, ubora wake unabatikana akicheza nyuma ya Mshambuliaji ndo sehemu amezoea kucheza..! Nguvu Moja [emoji881]
 
Mlivyofanywa na jwaneng Galaxy,horoya anakuja kuwafanya hivyo hivyo.
Ilo kundi hamtoboi hata kwa dawa
 
Sijui kocha anatumia jicho gani kutoona jambo dogo kama hilo
 
Ameandikaa ukajaribu kuficha upumbavu wako mwisho ukashindwa. Mpumbavu ni mpumbavu tu aisee ni ngumu kuuficha. Kafie mbele
Pimbi ww. Unapenda kweli kuandika kuhusu Yanga in a negative way. You are a kind of stupid. Kuna siku tutakupiga kiboga.
 
Pimbi ww. Unapenda kweli kuandika kuhusu Yanga in a negative way. You are a kind of stupid. Kuna siku tutakupiga kiboga.
Pimbi baba yako, unavyoliwa kiboga umedhani kila mtu ni mbwambwa. Warudie wanaokugonga mimi siwezi kuwa mende wako.
 
Tuko pamoya
 
Hawa viumbe ndiyo maana wanaitwa mbumbumbu.

Ujuaji tu umewajaa. Kajitu kamekula ugali wake na maharage! Baada ya kushiba, kanajiona kameshakuwa na kenyewe ni kakocha ka viwango vya Robertino!
Wewe ndie kiumbe wa ajabu, juzi tu kwenye ile game yenu ya away na Mazembe ulikuwa unamponda Nabi amekosea kupanga timu, wewe ulitaka achezeshe viungo wengi, mpaka mlipopata goli la pili dakika za mwisho ndio ukanyamaza...

Jifunze kuweka akiba ya maneno, kumbukunbu zako tunazo vizuri, kumbe ukiwa unamfundisha Nabi ndio unakuwa umetoka kushiba maharage[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi ukishiba wewe inatosha, wengine tuache🫣🫣
 
Mimi ni kocha mwenye cheti cha awali, lakini pia nimecheza na kufundisha mpira katika ngazi mbalimbali.

Ni tofauti kabisa na nyinyi mashabiki wa simba, ambao hamna utaalam wowote, na mara zote mmekuwa mkiwaandama makocha wenu kwa kulazimishwa apangwe Chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…