XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Ila azizi ki, anacho kiwango mnachotaka ?Mi naona Chama aende Azam tu maana Simba imebaki jina na wazee anaua kipaji na Yanga atakaaa benchi Hana kiwango tunachotaka.
Hilo la kudiscuss mchezaji Gani apangwe Namba ngapi ni kupoteza muda tu