Maoni yangu kitalaamu kuelekea "fainali" dhidi ya Horoya

Ww una utaalam upi!!?? Hujawahi kukochi hata timu za chandimu. Punguzeni midomo yenu mirefu na dharau. Tz sasa hv kuna timu moja tu Jangwani. Na kwa taarifa yako huu ni mwanzo tu.
Sasa mbona unaongea vidole juu? Vivulana vya siku hizi bwana!!
 
Wacha longolongo, weka hivyo vyeti hapa.
 
Sasa unamwambia nani hapa, si umpigie simu Robertinho au Mgunda?

Makolo bhana
 
Unawashwa Tena we shoga?.....kama huna Cha kupost kwenye post za wanaume kaa kimya...punguza uchoko
 
Vipers ilificha udhaifu wa simba, simba halisi ni watakapo cheza na Horoya, kama vipers mstrugle vile kupata matokeo kwa Horoya itakuwa strugle + mjipange tu kwa mashindano ya mwakani lakini robo fainali mtaangalia zbc2
 
NAunga mkono hoja.
 
Kweli kabisa, kwenye ligi ya Tanzania hakuna mchezaji anayetulia na mpira kama Chama, ana ball control, anauwezo wa kupunguza, anauweza wa kupiga pasi ikamgifikia muhusika bila waswas kiufupi jamaa kiungo Cha kati kinamfaa zaid
 
Mimi nitakuja na uzi wa maoni yangu 'kitakwimu'
 
Yanga tayari kacheza gemu ya away na Mazembe?
 
Nimelipeleka kama lilivyo kwa Viongozi na Kocha nina imani watamtafasilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…