Nenda "leba" kajifungue kwa uchungu ulio nao.Takwimu za kibu denis vs mayele zinatia uchungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda "leba" kajifungue kwa uchungu ulio nao.Takwimu za kibu denis vs mayele zinatia uchungu.
Siku ya wanawake akiwemo mama yako mzazi aliekaongezwa njia leba ili utoke weweHuyo ni wale wanaocheza kombe la losers na walicheza jana siku yao ya wanawake duniani , hivyo ni wa kupuuza tu.
Pengine hujatulia kuona namba zilivyo. Mechi ya Raja haina maana yoyote kwa matokeo yoyote ya Simba na Horoya, yaani kushinda, sare au kupoteza. Mechi ya maamuzi ni hii ya HoroyaHiyo mechi ya Raja, Makolo wenzio wameshakubali yaishe!
Sasa mbona unaongea vidole juu? Vivulana vya siku hizi bwana!!Ww una utaalam upi!!?? Hujawahi kukochi hata timu za chandimu. Punguzeni midomo yenu mirefu na dharau. Tz sasa hv kuna timu moja tu Jangwani. Na kwa taarifa yako huu ni mwanzo tu.
Wacha longolongo, weka hivyo vyeti hapa.Mimi ni kocha mwenye cheti cha awali, lakini pia nimecheza na kufundisha mpira katika ngazi mbalimbali.
Ni tofauti kabisa na nyinyi mashabiki wa simba, ambao hamna utaalam wowote, na mara zote mmekuwa mkiwaandama makocha wenu kwa kulazimishwa apangwe Chama!
Hao ni kutowajibuPale mwanzo nilitoa tahadhari. Huu uzi ni wa watu timamu. Bahati mbaya kuna watu walioshikiwa akili wameingia
Sasa unamwambia nani hapa, si umpigie simu Robertinho au Mgunda?Wakubwa wenzangu tuache kujadili ulimbukeni wa jamaa zetu kwenye mashindano ya CAF, tujadili mambo ya msingi.
Clatous Chama amekuwa akipangwa winga huku Saido Ntibazonkiza akitumika kama kiungo wa kushambulia nyuma ya mshambuliaji wa kati.
Chama amekuwa akionyesha uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mwisho (assists) kulinganisha na Saido ambaye ameonyesha uwezo wa kufumania nyavu pindi anapopata fursa.
Kitendo cha kumpanga Chama pembeni kinaonekana kuipunguzia Simba idadi ya pasi za mwisho jambo linaloonekana kuwapa wakati mgumu washambuliaji wa kati ambao wamekuwa wakipangwa, hivyo pengine Robertinho angejaribu kumtumia Saido winga na kumrudisha Chama acheze namba 10.
Maoni yangu ya kitaalamu ni hayo kuelekea Jumamosi kwenye fainali yetu. Wewe maoni yako ni yapi.
Unawashwa Tena we shoga?.....kama huna Cha kupost kwenye post za wanaume kaa kimya...punguza uchokoMimi ushauri wangu tumlete yule mganga wetu kutoka Pemba, na pia yule mama mganga wa Moro mwenye titi Moja tumlipe Ile Hela yake tuliyomzurumu ili magoli yarudi pale Kwa Mkapa. Tusipofanya hivyo haki ya Mungu hatutoboi.
Simba ngufu moya[emoji123][emoji123]
Wewe umejuaje sio kocha na wala hajawahi kucheza mpiraUtaalamu huo umesomea wap? Sio kocha wala hujawahi kucheza mpira, acha uhuni
Mkuu. TAKWIMU ZA KIBU DENIS VS MAYELE ZONATIA UCHUNGUUmeandikaa ukajaribu kuficha upumbavu wako mwisho ukashindwa. Mpumbavu ni mpumbavu tu aisee ni ngumu kuuficha. Kafie mbele
NAunga mkono hoja.Wakubwa wenzangu tuache kujadili ulimbukeni wa jamaa zetu kwenye mashindano ya CAF, tujadili mambo ya msingi.
Clatous Chama amekuwa akipangwa winga huku Saido Ntibazonkiza akitumika kama kiungo wa kushambulia nyuma ya mshambuliaji wa kati.
Chama amekuwa akionyesha uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mwisho (assists) kulinganisha na Saido ambaye ameonyesha uwezo wa kufumania nyavu pindi anapopata fursa.
Kitendo cha kumpanga Chama pembeni kinaonekana kuipunguzia Simba idadi ya pasi za mwisho jambo linaloonekana kuwapa wakati mgumu washambuliaji wa kati ambao wamekuwa wakipangwa, hivyo pengine Robertinho angejaribu kumtumia Saido winga na kumrudisha Chama acheze namba 10.
Maoni yangu ya kitaalamu ni hayo kuelekea Jumamosi kwenye fainali yetu. Wewe maoni yako ni yapi.
Kweli kabisa, kwenye ligi ya Tanzania hakuna mchezaji anayetulia na mpira kama Chama, ana ball control, anauwezo wa kupunguza, anauweza wa kupiga pasi ikamgifikia muhusika bila waswas kiufupi jamaa kiungo Cha kati kinamfaa zaidWakubwa wenzangu tuache kujadili ulimbukeni wa jamaa zetu kwenye mashindano ya CAF, tujadili mambo ya msingi.
Clatous Chama amekuwa akipangwa winga huku Saido Ntibazonkiza akitumika kama kiungo wa kushambulia nyuma ya mshambuliaji wa kati.
Chama amekuwa akionyesha uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mwisho (assists) kulinganisha na Saido ambaye ameonyesha uwezo wa kufumania nyavu pindi anapopata fursa.
Kitendo cha kumpanga Chama pembeni kinaonekana kuipunguzia Simba idadi ya pasi za mwisho jambo linaloonekana kuwapa wakati mgumu washambuliaji wa kati ambao wamekuwa wakipangwa, hivyo pengine Robertinho angejaribu kumtumia Saido winga na kumrudisha Chama acheze namba 10.
Maoni yangu ya kitaalamu ni hayo kuelekea Jumamosi kwenye fainali yetu. Wewe maoni yako ni yapi.
Yanga tayari kacheza gemu ya away na Mazembe?Wewe ndie kiumbe wa ajabu, juzi tu kwenye ile game yenu ya away na Mazembe ulikuwa unamponda Nabi amekosea kupanga timu, wewe ulitaka achezeshe viungo wengi, mpaka mlipopata goli la pili dakika za mwisho ndio ukanyamaza...
Jifunze kuweka akiba ya maneno, kumbukunbu zako tunazo vizuri, kumbe ukiwa unamfundisha Nabi ndio unakuwa umetoka kushiba maharage[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi ukishiba wewe inatosha, wengine tuache🫣🫣
Nimelipeleka kama lilivyo kwa Viongozi na Kocha nina imani watamtafasiliaWakubwa wenzangu tuache kujadili ulimbukeni wa jamaa zetu kwenye mashindano ya CAF, tujadili mambo ya msingi.