MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
-
- #21
Ndo maana kwenye huu uzi nimesisitiza watu kuagiza wenyewe. Hao ni matapeli.Kuna huyu jamaa hapa,nilljikuta tu nimekuwa added kwenye group lake Ila nikawa interest na bidhaa anazopost na bei anazoweka.Lkn nimekuwa mzito sn wa kufanya maamuzi maana nilipoona amezuia watu kucomment nimejikuta nimeona Kam amefanya udicteta watu kutoa feedback
View attachment 2226885
Kweli sijui ila naona mizigo yao mingi inacheza dola 400 kwa cbmSilent ocean wanafanyaje 1cbm ya belo la viatu mtumba?
Huku kwingine wanapiga $700 per cbmKweli sijui ila naona mizigo yao mingi inacheza dola 400 kwa cbm
Hawa GNM cargo nasikia wanapiga bei balaa hamia kwa wakina binamu Mapembelo cargo ni 500/400Huku kwingine wanapiga $700 per cbm
Ngoja nitawacheki nao nione na vipi link ya hao 1688Hawa GNM cargo nasikia wanapiga bei balaa hamia kwa wakina binamu Mapembelo cargo ni 500/400
Jaribu kununua vitu vya bei ndogo kama mifuko ya karatasi, au hata sample ufanye mazoezi ya kununua, hakikisha mawasilisno yako unayafanya kupitia alibaba, na malipo kupitia alibaba kwa kutumia credit au debit, kama huna unaweza kutumia ya jamaa au rafiki.Kila nikiingia alibaba nachat na hao wachina ila sasa kuagiza ndo nasita kwa kweli and sijui kwa nini,
Kwa ninavyofahamu unalipa kupitia ile website ya Alibaba Kwa kutumia Mastercard ambazo hata Kwa mitandao ya simu zipo mf Airtel master card na Voda n.k.uzuri wa kulipia direct kwenye website huwez tapeliwa maana mzigo usipofika unafanyiwa refund nshawahi rudishiwa Hela thru AliExpress mara kadhaa.Unasema unamlipa mchina mwenyewe je unamlipa kwa njia gani?
hawa hata Mimi nimewasikia japo sio mbobezi huko [emoji1787][emoji1787]Unawapigia debe silent ocean siyo...
Asante mwanzisha mada.
Naomba kujuzwa ukitaka kuimport Mzigo wa mikoba ya wanawake unawezakushari mtu ajipange mtaji wa kiasi gani kama kianzio mpaka anaupata kupitia Silent ocean
Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Hela za mikopo sio za kufanyia biashara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shangazi yangu alitaleliwa 30m kipindi kile cha corona mpaka leo analipa hela za watu
Mikoba inategemea na aina ya wateja wako. Kama ni sisi wa daraja la chini kabisa hata milioni moja inatosha kuanzia. Mzigo wa laki 8 halafu laki 2 usafiri.Asante mwanzisha mada.
Naomba kujuzwa ukitaka kuimport Mzigo wa mikoba ya wanawake unawezakushari mtu ajipange mtaji wa kiasi gani kama kianzio mpaka anaupata kupitia ocean sea
Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Kuhusu matapeli wa kichina huwa ni nadra sana kutokea. Pia kuna jinsi ya kuwagundua kabla hata hujaagiza..
Kumgundua tapeli bado ni ngumu sana ila kwa upande wangu naangalia kama kawa verified na Alibaba pia naangalia Star rate na comments za wateja kwenye page yake.Unamgunduaje huyo tapeli!!? C vzr ukatuachia hilo swali vichwani vyetu ukilinganisha na mahudhui na dhamira ya huu uzi
Ok! Kikubwa tahadhari tu [emoji120]Kumgundua tapeli bado ni ngumu sana ila kwa upande wangu naangalia kama kawa verified na Alibaba pia naangalia Star rate na comments za wateja kwenye page yake. Anaweza akawa verified, star rate 5/5 na comments nzuri na bado akakufanyia uhuni. Kimsingi kumwamini mfanyabiashara kwa 100% bado ni ngumu.