Wanaoagiza vitu china wapo wakweli na matapeli, wale wakweli wengne wanachukulia Alibaba, 1688 ila wansongeza commission kdg na kwakuwa wanataka wing wa bidhaa ndio wanapokula na kwenye usafiri ndio wanakuja kula zaid ila sio kwamba wote ni matapeli japo kama kawaida wabongo hawachelewi kujiongeza.
1688 kama unaelewa 中国人 unapata bidhaa kwa bei rahisi sana, mm nina ushuhud rafiki yang alikuwa anafanya hyo coz dada yake amesomea huko so alikuwa anamsaidia kwenye kutafsiri lugha.
Ila ni vizur ukajifunza mwenyew kuagiza ata Alibaba kuna bei nzur kama ukiweza kuzungumza na wauzaji vizur japo bei za alibaba haiwez kufanana na 1688.
Ukitaka upate faida nzur akikisha unachukua mzigo mkubwa ili ukija kutoa gharama ya usafiri ikulipe vizur.