Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Huyo jiwe kafanyaje sasa? Acheni hizo nyie
 
Acha kuleta story za madalali, xtrail gari ngum na comfortable
Sent using Jamii Forums mobile app
ibofwee X Trial Nissan si gari kabisa amini km uko nayo jaribu hilo bodi kusogeza niti ya kiberiti inayowaka (ni Plastic kabisa) ikichanika mpaka umuite fundi viatu
kwa mengine labda niseme Nissan x ina piston 4 lkn ina injini ina vibrate saa zote na hasa ukisimama
Harrier ina piston 6 lakini haina mitetemo kwenye injini wala bodi ina mwendo wa kusoot inayo mkubwa kuliko Nissan
Haria inatumia mafuta 5% kwa safari za mbali kuliko Harrier vivyo Mjini inatumia zaidi ya Nissan
kwenye Body na uimara wa magari haya tofauti zake fuatilia hii link
Comparison between Nissan X-trail and Toyota Harrier
Comparison between Nissan X-trail and Toyota Harrier
 
Umesema kweli kabisa kaka,, Tanzania watu wananunua magari kwa kuigana na sio kwa kuangalia mahitaji,,
HAPANA Mkuu hivyo vigari (Sedan) vyote na Brevis kwa njia zetu za Tanzania havifai kwa Tako la nyani
wape Ligi singida Moro hizo bump rasta na mashimo Tako la nyani hapunguzi (ondoa vibao vya +50 na Traffic)
wape ligi barabara za Kilosa Mikumi au mpaka Matombo turudi Dar hawataonekana kweny hizo rough road
Hicho kigari kiliwahi kutaka ligi njia ya bagamoyo Msata, kiukweli ni doro tu mbele mnyama Brevis, maana kila akijaribu kusogea anaambulia kula moshi tu.., hamna kitu hapo
Mkuu DA DON usipange SUV na Sedan labda utumie Lami tu lakini tugeuze vumbi Msata katiza Handeni tutokee Kiteto Kondoa Puma Singida utaacha gari lako huko
Harrier achana ashindane na Nissan Prado na Toyota L/Cruiser SUV wenzake na 4x4 au 4WD
 
HYBRID MAANA YAKE INA MTUNGI WA GESI HAITUMII MAFUTA INATUMIA GESI
ungefafanua zaidi kwa ajili ya member, kwani mitaani kuna Toyoyta Harrier Hybrid ambapo baadhi wanasema wameondoa hiyo system na inasemekana huko kwao Harrie waliweza kutumia lita 1 kwa kilomita 18
  • Ni gari inayotumia kitu kingine zaidi ya petrol au diesel na husaidiana (mfano betri la kuchaji kwa umeme unaenda kituo cha umeme wanakuchajia unaenda zako au unaenda kituo cha mafuta kuongezea
  • A hybrid car is one that uses more than one means of propulsion - that means combining a petrol or diesel engine with an electric motor. The main advantages of a hybrid are that it should consume less fuel and emit less CO2 than a comparable conventional petrol or diesel-engined vehicle.
 
Muelezee huyo Prince Kunta kuwa Jukwaa la Magari Mshana Jr msahana ndiye aliyelianzisha hapa JF kabla ya kuanza uganga huko Msata apekuepekue tu kachangia magari kuliko Uganga na si JF tu hata Whatsapp
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Sasa si ndio ukubali kwamba hugusi moto wa mnyama Brevis, kwani lini watu wakashindana kwenye barabara ambayo haipitiki? Hata kama haina lami, bado humgusi mnyama, maana yuko very poweful and stable, ili mradi iwe ni barabara inayopitika, acha visingizio aisee..
 
Bora Diffender tako la Sokwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK kwa barabara za Dar na parking finyu labda
namaanisha Off road na Milimani km Usangi, Kibosho, Matombo, mvuha hakuna Brevi's (Sedan) inapanda ila utatumia Harrier (SUV)
na ukija on tarmac tutakula pamoja , najua kila mmoja anavutia mnyama wake ma amakoishi,mm nipo Mvumi milimani
 
jamani tukubaliane ajali ni Dereva na sio gari
km mweleka Prado ndio nyepesi hasa kubiringita
ikifuatia na hizo Toyota Land cruiser V8 huko kusini jamaa yangu Mnauye zimepiga chini 2 huko manyara Kigwangala hata GX nimeendesha sana nipo mwaka wa 8 sasa hazilali kwenye speed hiyo labda uniambie hizi Sedan km GX100, Brevis nk
Harrier sijaona wala kusikia imebiringita labda mzinga wa uso kwa uso (h/coallition) au mzinga wa mti
mwenye picha ya Harrier miguu juu naiomba hapa kwenye Mada hata km ni ya huko nje ya Nchi
 
Mkuu upo sahihi, factor ya udereva ipo. Nilipotaja sababu ya toyota nyingi kuanguka nilisema hiyo ya kutoshika barabara ni moja wapo, hiyo ina maanisha zinaweza kuwepo sababu nyingine kama udereva.

Umetaja prado, katika gari stable sijaitaja maana naijua jinsi ilivyo weak in terms of stability.

Ila kwa upande wa VX, V8 nadhani zinaweza kuwa na afadhali kwa maana ya zimetengenezwa kuwa mwendo, stability na ni off road vile vile. Ila unachosema kinawezekana maana uzoefu VX, V8 sio mkubwa kivile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…