Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Daah...naona wamiliki wa toyota port, willy, funcargo, passo, duet wameamua kuungana na kunishambulia mimi wa Datsun.[emoji39][emoji39][emoji39]
Anyway....tuendeleeni na tako la nyani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana wewe ni muongo tu maana
  • hujui speed ya gari inapimiwa kutoka wapi katika chombo cha moto
  • hujui speedometer (Odometer) ndio inayosoma umbali km Morogoro - Dar sasa ikihama si itasoma ni umbali wa 50km ambao ni wa Dar Kibaha?
  • naona BMW ndio zinazohama

kuna wenzako humu JF tumewaacha wanabishana eti Mabasi yao ya mikoani yanafuta Dashboard ya 120MPH (wakati hiyo speed ni 200km/h) tena BMW
ndio maana tunanyamaza post nyingine
 
Watu huwa wanachanganya mile na kilometer

Jr[emoji769]
 
Mzee baba naona hukunielewa point yangu..
Nilimaanisha kuna gari unapanda unadhangaa speed ya kawaida sana sana lakini mshale wa speedmeter unasoma mfano 150/kph...

Sixungumzi gari kupunguzwa mileage ili kumvutia mteja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waheshimiwa nyie ela mnapata wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichoelewa tu ni tako la nyani a.k.a tako jekundu...halafu linakuwaga limenona[emoji23][emoji8][emoji39][emoji39][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa wachache wasiojua historia ya tako la nyani hili jina ni la carina my road ya miaka kadhaa ilopita...nashangaa watu kuipa hii harrier hata haifanani na mkundu wa nyani...
carina hii ndo tako la nyani

carina haijawahi kuwa na taa za juu
na sio Harrier zote ni matako ya nyani, hebu chunguza
ni New Model ndio zimepewa jina hilo na zinafukia mapori na milima licha ya makorongo (Off road)
Carina hawezi chanja pori la nyani
 
chanzo cha jina ni taa mzee sio mbuga..angalia carina hio nlioweka hapo sio T.i

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chanzo cha jina ni taa mzee sio mbuga..angalia carina hio nlioweka hapo sio T.i
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini usianzie Post #1 inayoelezea kwanini ikaitwa Tako la nyani hii ya kwako ndio kwanza naisikia kuwa sifa ni hizo taa zilizokaa kwenye boot unailazimisha wewe
tunachojadili hapa ni kufanana na Gendaeka na sifa nyingine na mshana katahadharisha na majanga yake hicho kiCarina hakiingii hata kwenye lami licha ya pori kwa pori
Je hapa chini ni ipi TAKO LA NYANI?
Carina Tako la nyani?

Harrier Tako la nyani?

Harrier Tako la nyani?
 
Mshana Jr
Baada ya uzi wako huu nimeielewa Harrier maarufu Tako la Nyani. Sasa ninaomba angalau unipe ubora na udhaifu wa hii Harrier first generation. Na kwa mtazamo wako Tako la Nyani na hii oldest model ipi ni bora??
 
tofauti ni kubwa sana, na hizi 3rd Generation zinaingia katika (Hybrid) zikitumia mifumo ya mizunguko ya Betri, gas na Petrol na zinazokuja huku kwetu wengi wanakata mifumo hiyo na kubaki Petrol
kwa starehe wameongeza vitu kibao ila madhara pia yapo km suspension ya mbele tu service yake ya kubadili mazagazaga wanadai hadi 2m (naona umemTag Mshanajr)
 
Ukwaju
Ninakushukuru sana kwa ufafanuzi wako.
Kati ya hiyo Harrier niyoiweka hapo juu na hii hapa chini ya kuanzia 2003, 2004 na 2005 nk. Ipo ni confortable zaidi barabarani? Maana hii ni kama imepondwa na wadau kuwa zinakula mzinga sana.
 
Okay sasa nimegundua kitu
SharrowMilleonea alifarik kwa Ajar ya Gar hii pale pande za Korogwe mkoan Tanga.
Kumbe Harrier ni nzuri lakin kwenye kona ukiwa Speed kali 140kph inateleza na unapata Ajali.
N.b. Harrier ina Automatic 4WD pale inapohitajika then inarud 2WH.

Mytake: Brevis ipo vizur kwenye Speed na unaweza kukata Cona na 160kph huku gar ikiwa imetulia tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
carina haijawahi kuwa na taa za juu
na sio Harrier zote ni matako ya nyani, hebu chunguza
ni New Model ndio zimepewa jina hilo na zinafukia mapori na milima licha ya makorongo (Off road)
Carina hawezi chanja pori la nyani
Carina longtime sana zinaitwa tako la nyani kabla hata hizo harrier kuitwa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado TAKO LA NYANI ni gari bora zaidi kulinganisha na hiyo old model... Kuna makosa kadha watakuwa wamerekebisha na kuboresha zaidi

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…