Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Hii hapa mzee baba[emoji39][emoji39]Datsun 120Y unaikumbuka? Ilikuwa Coupe
Ina wowowo flani hivi hapo back
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa mzee baba[emoji39][emoji39]Datsun 120Y unaikumbuka? Ilikuwa Coupe
Hapana wewe ni muongo tu maanaDaah...naona wamiliki wa toyota port, willy, funcargo, passo, duet wameamua kuungana na kunishambulia mimi wa Datsun.[emoji39][emoji39][emoji39]
Anyway....tuendeleeni na tako la nyani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu huwa wanachanganya mile na kilometerHapana wewe ni muongo tu maana
View attachment 1061470
- hujui speed ya gari inapimiwa kutoka wapi katika chombo cha moto
- hujui speedometer (Odometer) ndio inayosoma umbali km Morogoro - Dar sasa ikihama si itasoma ni umbali wa 50km ambao ni wa Dar Kibaha?
- naona BMW ndio zinazohama
kuna wenzako humu JF tumewaacha wanabishana eti Mabasi yao ya mikoani yanafuta Dashboard ya 120MPH (wakati hiyo speed ni 200km/h) tena BMW
ndio maana tunanyamaza post nyingine
Mzee baba naona hukunielewa point yangu..Hapana wewe ni muongo tu maana
View attachment 1061470
- hujui speed ya gari inapimiwa kutoka wapi katika chombo cha moto
- hujui speedometer (Odometer) ndio inayosoma umbali km Morogoro - Dar sasa ikihama si itasoma ni umbali wa 50km ambao ni wa Dar Kibaha?
- naona BMW ndio zinazohama
kuna wenzako humu JF tumewaacha wanabishana eti Mabasi yao ya mikoani yanafuta Dashboard ya 120MPH (wakati hiyo speed ni 200km/h) tena BMW
ndio maana tunanyamaza post nyingine
Tofauti kabisa mark X ni engine kubwa 2.5- 3000 tofauti kabisa na harrier
Jr[emoji769]
Waheshimiwa nyie ela mnapata wapi?Ni gari nzuri ni comfortable ndani kama huna mapepe, if you are here next level is landcruiser, spare zipo za kutosha, mafuta kawaida, but dont overspeed! Ingawa ina matatizo ya shockups but its good car! Had two of them! Asingekuwa jiwe ningekuwa kwa v8! Dis life!
kwa wachache wasiojua historia ya tako la nyani hili jina ni la carina my road ya miaka kadhaa ilopita...nashangaa watu kuipa hii harrier hata haifanani na mkundu wa nyani...Nilichoelewa tu ni tako la nyani a.k.a tako jekundu...halafu linakuwaga limenona[emoji23][emoji8][emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
carina haijawahi kuwa na taa za juukwa wachache wasiojua historia ya tako la nyani hili jina ni la carina my road ya miaka kadhaa ilopita...nashangaa watu kuipa hii harrier hata haifanani na mkundu wa nyani...
carina hii ndo tako la nyani
Sent using Jamii Forums mobile app
chanzo cha jina ni taa mzee sio mbuga..angalia carina hio nlioweka hapo sio T.icarina haijawahi kuwa na taa za juu
na sio Harrier zote ni matako ya nyani, hebu chunguza
ni New Model ndio zimepewa jina hilo na zinafukia mapori na milima licha ya makorongo (Off road)
Carina hawezi chanja pori la nyani
kwanini usianzie Post #1 inayoelezea kwanini ikaitwa Tako la nyani hii ya kwako ndio kwanza naisikia kuwa sifa ni hizo taa zilizokaa kwenye boot unailazimisha wewechanzo cha jina ni taa mzee sio mbuga..angalia carina hio nlioweka hapo sio T.i
Sent using Jamii Forums mobile app
tofauti ni kubwa sana, na hizi 3rd Generation zinaingia katika (Hybrid) zikitumia mifumo ya mizunguko ya Betri, gas na Petrol na zinazokuja huku kwetu wengi wanakata mifumo hiyo na kubaki PetrolMshana Jr
Baada ya uzi wako huu nimeielewa Harrier maarufu Tako la Nyani. Sasa ninaomba angalau unipe ubora na udhaifu wa hii Harrier first generation. Na kwa mtazamo wako Tako la Nyani na hii oldest model ipi ni bora??
Okay sasa nimegundua kituNi model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo).
Huku kwetu tunaita new model lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan.
Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine
Uundwaji wake umezingatia starehe zaidi, kasi, nguvu na ulaji mdogo wa mafuta. Hivi vigezo vimewavutia wa bongo wengi mpaka kuifanya ndio gari ya kuuzia sura kwa sasa yani ndio gari inayouza.
Huwezi kukaa dakika kumi mahali yanapopita magari bila kuiona hii gari mpaka sasa inaelekea kuwa kama sare ya taifa
Neno TAKO LA NYANI limetokana na hii gari taa zake za nyuma zilivyo.Yani zimekaa kama makalio ya nyani gendaeka yule mwenye makalio mekundu.
Lakini ni wangapi wanajua hatari za hii gari gumzo la jiji? Kwa taarifa yako ndio gari zinazoongoza kwa ajali zikifuatiwa na Alphard.
Unaweza kudhani zina tatizo lakini shida ni sisi wenyewe. Hatujazoea gari zenye take over kubwa na mwendokasi wa fasta.
Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari
Jr[emoji769]
Wanatoka wapi wkati jf kila mtu ana vw, bmw, vw na zote ni suvDaah...naona wamiliki wa toyota port, willy, funcargo, passo, duet wameamua kuungana na kunishambulia mimi wa Datsun.[emoji39][emoji39][emoji39]
Anyway....tuendeleeni na tako la nyani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa alinivamia na kanissan kangu mpka nikatamani nimuone live anapush ndinga gani[emoji16][emoji16]
Carina longtime sana zinaitwa tako la nyani kabla hata hizo harrier kuitwa hivyo.carina haijawahi kuwa na taa za juu
na sio Harrier zote ni matako ya nyani, hebu chunguza
ni New Model ndio zimepewa jina hilo na zinafukia mapori na milima licha ya makorongo (Off road)
Carina hawezi chanja pori la nyani
Bado TAKO LA NYANI ni gari bora zaidi kulinganisha na hiyo old model... Kuna makosa kadha watakuwa wamerekebisha na kuboresha zaidiMshana Jr
Baada ya uzi wako huu nimeielewa Harrier maarufu Tako la Nyani. Sasa ninaomba angalau unipe ubora na udhaifu wa hii Harrier first generation. Na kwa mtazamo wako Tako la Nyani na hii oldest model ipi ni bora??View attachment 1066469View attachment 1066470