Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Ukwaju
Ninakushukuru sana kwa ufafanuzi wako.
Kati ya hiyo Harrier niyoiweka hapo juu na hii hapa chini ya kuanzia 2003, 2004 na 2005 nk. Ipo ni confortable zaidi barabarani? Maana hii ni kama imepondwa na wadau kuwa zinakula mzinga sana.
Hizi gari Harrier matako ya nyani hazili mzinga, tumechangia ni dereva mwenyewe
wengi hawatofautishi kati ya Sedan na Sport Vehicle (SUV) Harrier inaingia popote na hasa hizi za toleo la 2008 zimetengenezwa kupunguza mitetemo ya barabarani, makelele na mausumbufu kibao mfano bodi, kuhamahama barabarani ndio maana unaambiwa watu wanajitupa hovyo
sasa hivi Harrier Hybrid wanakwenda hadi kilomita 21 kwa lita 1 ya petrol ambapo ni zaidi ya Corolla

(Angalia hapa chini mabadiliko waliyoyafanya kwa Hizi Hybrid na matumizi ya mafuta)
Before crossover SUVs (Sport Utility Vehicle) such as the Toyota Harrier came into production, there was really nothing in between the full-size SUV and the sedan. People liked the flexibility of the SUV, but not necessarily the hugeness and the clunkiness associated with full-size SUVs that were on the market at the time. The Harrier came as a perfect option, which we take a closer look at in this Toyota Harrier review.
One big thing that sets the Toyota Harrier apart from other luxury crossover SUVs in its class is the attention to NVH, that is, Noise, Vibration, and Harshness. On driving the Toyota Harrier, most come to the conclusion that NVH means “No Vibration or Harshness,” Toyota engineers must have done a pretty good job. The design of the Toyota Harrier makes more use of insulation and vibration dampers
Toyota Harrier Hybrid : Basic Specifications
  • length 4.72 - 4.755m
  • height 1.69 -1.69m
  • width 1.845 - 1.845m
Maximum power
Fuel Consumption21 - 21km/L
Drive TypeAWD
Engine Capacity2,493 - 3,310cc
 
Shukrani kubwa sana mkuu.
 
.
Your browser is not able to display this video.
 
Nimesoma uzi mwanzo mwisho..wife kalilia hili tako la nyani..nimenunua..juz nimetoka hapa arusha mjini kwenda kia...nafika hapo mbele ya majivya chai ..nikiwa speed kama 130 nikakwepa shimo ..aiseeee..ilihama njia nusu iniroe uhai..kufika kia nikamwambia wife hii gar sii nzur kwa spid..inakufaa wewe na speed zako za 60..nimesoma uzi huu nimeelewa vingi....brevis na gx110 hazijawahii nifanyia uhuni kama ilivyonifanya tako la nyani..

NB:.WAMBIE HAO JAMAA kwennye hii clip kama unawafaham...watoto wao hawajawakariri vizuri..kufuta kisahan kutawakost
 
Ninayo na mimepanga kwenda nayo Mbeya from Dar na Kurudi nipite Dodoma ndo nirudi Dar mwezi wa nne. Kwa comments za watu humu inabidi nitembee not more than 100Km/h maana nitakuwa na familia. Honger Mshana Jr kwa bandiko lako.
Tupe experience ya ulaji mafuta mkuu km per litre
 
Nadhani hajui bei za haya magari na ushuru wakr unakuwaje asante kumwelewesha!
 
Of course. Mark X ni 2.5 na Harrier ni 2.4 kwa hizi ambazo ni common (sio zile za 3.5 au 3.0). So ndio Mark X engine kubwa kuliko Harrier
Kuna Harrier zina engine ndogo lakini kwa Mark X sijawahi ona

Jr[emoji769]
 
Mkuu ninavijisenti vyangu tumegawana urithi sasa nataka hilo tako la nyani au prado tx swali langu ni je? Nitaijuaje hiyo tako la nyani hybrid
 
Mkuu ninavijisenti vyangu tumegawana urithi sasa nataka hilo tako la nyani au prado tx swali langu ni je? Nitaijuaje hiyo tako la nyani hybrid
Ok kuna tofauti kubwa sana sasa kwa hizi Harrier
kuna zile za miaka ya nyuma zenye cc3000 ambapo ni piston 6 hadi zenye cc2390 piston 4 tunaziita Old model
TSh 8,000,0002001 Toyota Harrier
Kinondoni, Ubungo Dar Es Salaam
mfano
hiyo kwa Showroom za Dar mpaka milioni 13 iliyoagizwa au fika Be Forward kule Ocean rd, hiyo picha ni kweli inauzwa huko www.zoomtanzania.com kwa bei ya milioni 8 tu
Matako ya nyani siku za nyuma zilijulikana km Lexus na Mshana Jr ndio kazielezea hiizi bwana uwena 23 milioni hadi 30
zenyewe taa zake nyuma zimekaa juuujuu kn gendaheka

Gari hiz kwa sasa wameziwekea injini ndogo ya 2.4 vvti
ni toleo la 2006 mpka 2010
pia kuna za 2014 naona zipo chache na ndizo zinabeba maana ya Hybrid kwani zina mchanganyiko ukiamua kutumia Petrol au gesi wakidai lita moja huenda hadi 18km

nakushauri ungeifuatilia Mada kuanzia mwanzo hapa hapa utakuta yote haya
 
Shukrani mkuu,ngoja niuchimbe uzi...ila kama kunamwenye hilo tako la nyani,prado vanguard au vx isiyozidi 30m atupie picha
 
Shukrani mkuu,ngoja niuchimbe uzi...ila kama kunamwenye hilo tako la nyani,prado vanguard au vx isiyozidi 30m atupie picha
Kwa ushauri wangu chukua vanguard au vx achana na TAKO LA NYANI ni nyepesi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…