Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Sawa mkuu. Lakini nina swali hapa. Kama zina take over na mwendo kasi mkubwa,zinapataje ajali? Hebu fafanua hapo. Maana kama zina take over na mwendo kasi ni rahisi kupita kwa wepesi na ku-over-take na kurudi mahala site yake haraka . Ajali nyingi zinatokea ksbb ya ku-over-take,mtu anachelewa kurudi site yake. Ndio maana kugongana uso kwa uso ni nyingi
 
Harrier hasa hizo Tako la nyani zina speed ya kawaida ya 180 ktk Dashboard, sema wanadai ni nyepesi kuliko BMW, L/Cruiser Nissan nk, na ina suspension inayoweza kufukia mashimo / bumps na makorongo, sasa ukiitumia vibaya ni lazima itakutupa tu.
Gari yoyote ajali ni wewe mwenyewe
 
Kweli mkuu wacha nifanye huo mchakato. tunakomaa na mjep utafikiri katuloga.
Mkuu unafikiri hatupendi kukaa ndani y hizo BMW basi....?[emoji848][emoji848][emoji848]
Uchumi wetu tu ndiyo unafanya tubanane hapo Japan....[emoji26][emoji26]

Juzi ka..Nissan kangu kalikuwa kanagonga miguu ya mbele balaa...nikaenda garage na 50,000/- ....nikanunua wishbone bushes 2 jumlisha ufundi na maji niliyokunywa nikiwa garage na bado nilibakiwa na CHANGE ya buku 5000/-

Sasa unaweza ukatafakari hapo [emoji867][emoji867]urahisi wa spare..ingekuwa Ulaya, ningepaki kwanza nitafute mbavu nene.

Hata mimi siku nikiwa na mbavu nene, nitakuja Ulaya.....napenda sana BMW na VW.[emoji848][emoji848]
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Mazoea yametuharibu mno
km mm siwezi achana na Mjapani, nilikata pipe ya sterling power ya Land cruiser GX na nipo ugenini Buguruni, nikaelekezwa Tabata sambusa, nimeikuta kwa 15,000 badala ya 170,000/ bei ya Toyota workshop Nyerere rd, sasa km BMW ningekamatwa na Tanroad au nigevutwa mpaka gereji na kuliacha hapo
 
Natamani kuingia huko niondokane na huyu mjapani, lakini watu wanatukatisha tamaa sana.
siamini kabisa km wanakulaumu
kwani watu wanayanunua na yameshuka bei, ni rahisi kutengeneza na spea zinaingiliana mfano tairi size 14, utafunga kwenye Noah, Pick-up, Corolla, Corona nk ukija fani za kupooza rejeta unaweza funga hata ya Suzuki nk hiyo ndiyo raha ya Toyota si ya kichoyo
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji109][emoji123]
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…