Maoni yangu kuhusu waraka wa G55 ya CHADEMA

Hatufanyii kazi mambo ya mitandaoni
 
G55 ni akili kubwa wewe huwezi kuwaelewa
G55 ni mkakati unaoandaliwa kuvunja nguvu ya umma. Chadema msikubali kugawanyika,muwe na umoja. Watz tunataka umoja na mshikamano wa vyama vya upinzani. Chadema simameni katika umoja. Hawa G55 wa nini? Je, lini wanaotaka ushindi wasiwe wamoja? Ushindi unapatikana katika hali ya kukosana. Ondoeni tofauti zenu ili kuwa na umoja. Msiwe wapenda madaraka Kwa kuvunja makubaliano yenu.
 
OPEN the Door kwa kweli umoja unatakiwa lakini huwezi kuulazimisha kwa kutoka kwenye msingi wa sera za chama.

Kwenye vyama vya siasa "factions" zinakubalika lakini siyo uasi dhidi ya maamuzi ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…