CHADEMA inabidi muwe makini katika teuzi mbalimbali za viongozi wa mashina mpaka matawi ngazi za Serikali za mitaa mpaka kata. Ili chama kiwe IMARA ni lazima kuwepo viongozi makini na wanaojua wajibu wao na sio viongozi VIZA ambao katu wameteuliwa lakini hawajui wajibu wao.
Nimesema haya kwasababu nimepita huko mitaani na kuona kuna kasoro nyingi zilizo jitokeza katika mikutano kadhaa wa kadhaa. Fanyieni kazi haya ili kupata mwanga wenye mwelekeo mnzuri wa kisiasa!!