Maoni yangu kwa CHADEMA

Maoni yangu kwa CHADEMA

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
CHADEMA inabidi muwe makini katika teuzi mbalimbali za viongozi wa mashina mpaka matawi ngazi za Serikali za mitaa mpaka kata. Ili chama kiwe IMARA ni lazima kuwepo viongozi makini na wanaojua wajibu wao na sio viongozi VIZA ambao katu wameteuliwa lakini hawajui wajibu wao.

Nimesema haya kwasababu nimepita huko mitaani na kuona kuna kasoro nyingi zilizo jitokeza katika mikutano kadhaa wa kadhaa. Fanyieni kazi haya ili kupata mwanga wenye mwelekeo mnzuri wa kisiasa!!
 

Attachments

  • CHADEMA_logo.svg.png
    CHADEMA_logo.svg.png
    31.7 KB · Views: 1
Kumbe huyu mwamba ndiye JJ Mnyika?
wrong interpretation. Mimi nawaambia wote wawili ie JJ Mnyika na erythrocyte wa take note. Siyo hivyo tafadhali. Erythrocyte simjui kabisa.
 
Back
Top Bottom