Maoni yangu kwa Muungano

Joined
Sep 12, 2022
Posts
9
Reaction score
8
Mfano leo Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 wameimba nyimbo zao za Taifa japo wapo kwenye muungano wa 'United Kingdom🇬🇧'.

Mapendekezo yangu hapa nyumbani Tanzania 🇹🇿 tufanye hivo pia kwa Tanganyika na Zanzibar, hii itaonesha uhalisia na chimbuko la kila mmoja chini ya kivuli cha Muungano.

#kitabukinakurasanyingi

✍🏾 Tanganyika Leo.
 
Mbona Zanzibar ina nyimbo yake ya taifa na bendera yake ya taifa na

Tanganyika hivyo hivyo. eb kuwa straight unaitaji mabadiliko yapi sheikh
Bendera ya Zanzibar.


Bendera ya Tanganyika( Tanzania).
 
Kwani Tanganyika tunafaidika nini na muungano?
 
Muungano wetu ni wa aina yake ,Rais wa Zanzibar akija bara anakuwa sawa na waziri tu
 
Una mwanasheria au utajitetea mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…