Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Bendera ya Tanganyika ipo hivyo bado itakuwa na thamani na itatumika kama kuna mabadiliko yoyote yatatokea mda wowote.Anamaanisha kama ipo sandukuni haina faida
bendera ya Zanzibar nayo ipo ila iliyopo sasa ina mchanganyiko na wa kipande cha bendera ya Tanzania.
lakini kiasili nchi zote zina bendera zake pia zina nyimbo zake za taifa.
TANZANIA BARA ( Tanganyika) - "MUNGU IBARIKI TANZANIA."
ZANZIBAR- "UNGUJA NA PEMBA PIA"