Maoni yangu kwa Muungano

Anamaanisha kama ipo sandukuni haina faida
Bendera ya Tanganyika ipo hivyo bado itakuwa na thamani na itatumika kama kuna mabadiliko yoyote yatatokea mda wowote.

bendera ya Zanzibar nayo ipo ila iliyopo sasa ina mchanganyiko na wa kipande cha bendera ya Tanzania.

lakini kiasili nchi zote zina bendera zake pia zina nyimbo zake za taifa.

TANZANIA BARA ( Tanganyika) - "MUNGU IBARIKI TANZANIA."

ZANZIBAR- "UNGUJA NA PEMBA PIA"
 
Bahati mbaya umejifungia Tanganyika, siku moja vuka bahari uingie Zanzibar ndipo utaelewa, kuna muungano wa kitu gani!.
Mara kadhaa nimeenda Visiwani Zanzibar na nafahamu umuhimu wa Muungano, hoja yangu ni nyimbo za Taifa.
Ule ya Zanzibar na Tanganyika pia.
 
Tanganyika haina bendera yake,

bendera ya tanganyika ilishazikwa mwaka 1964
muungano ukivunjwa leo hii Tanzania bara inarudi katika jina lipi maana jina la Tanzania limezaliwa kutokana na muunganiko wa nchi mbili
 
Mara kadhaa nimeenda Visiwani Zanzibar na nafahamu umuhimu wa Muungano, hoja yangu ni nyimbo za Taifa.
Ule ya Zanzibar na Tanganyika pia.
Unaweza kuwa unakwenda kila siku lakini hujui kitu, although unasema umeenda how come hujui km Zanzibari wana wimbo wao wa taifa na wana maamuzi yao kikatiba ambayo hawaingiliwi na nyau yeyote!.
 
Tunalinda magaidi wasituvamie kupitia bahariniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Hiyo si faida ndogo eti

Tanganyika ndiyo ilivamia Zanzibar na kuweka majeshi yake mwaka 1964 na mpaka leo yamebaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…