Habari ndugu wanajamii forums
Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na Afrika kwa muda mrefu takribani miaka 20.
Kinachonifurahisha kwa mwanasiasa yoyote ni uwezo wa kujenga hoja. Ukiangalia wanasiasa wengi hapa TZ kuanzia mwalimu Nyerere na uwezo wao wa kujenga hoja utaona ni kama mtu anayeangalia vipaji vya akina Ronaldo na Messi.
Kwa hapa TZ tumekuwa na wanasiasa Nguli wenye uwezo na ushawishi wa kujenga hoja. Mifano ya wanasiasa wa hivi karibuni kama Freeman Mbowe, Ibrahimu Lipumba, James Mbatia, Tundu Lisu, Sugu, Peter Msigwa, Wilbroad Slaa, John Heche, Zito Kabwe na wengine wengi bado utaona GOD BLESS JONATHAN LEMA anawazidi mbali saaana ukimuondoa Baba wa taifa la Tanzania mwalimu Nyerere.
Kwa ufupi huyu kijana ana sawa na akina Ronaldo na Messi na kiukweli baba yake mzazi atakuwa anamshukuru Mwenyezi Mungu kuzaa mtoto wa hivi.
Maendeleo hayana CHAMA.