Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,784 Reaction score 13,642 Jul 25, 2022 #21 Kafanya sana matukio ya ujambazi akiwa Mwanza.
V Vyura99tu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 1,766 Reaction score 1,868 Jul 25, 2022 #22 Mpekuzi Tanzania said: Watu mna masihala yaani unamuweka Lema kwenye level za Mwalimu Nyerere. Ebu tuacheni tupumzike. Lema huyu anaejiita mkimbizi wa kisiasa [emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... Soma vizuri uelewe mtuririko umechangia kwa kukurupuka na chuki! Unajua mwanasiasa anayejenga hoja na akazitema!
Mpekuzi Tanzania said: Watu mna masihala yaani unamuweka Lema kwenye level za Mwalimu Nyerere. Ebu tuacheni tupumzike. Lema huyu anaejiita mkimbizi wa kisiasa [emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... Soma vizuri uelewe mtuririko umechangia kwa kukurupuka na chuki! Unajua mwanasiasa anayejenga hoja na akazitema!
U Unitman JF-Expert Member Joined Jul 14, 2021 Posts 511 Reaction score 671 Jul 26, 2022 Thread starter #23 Mkirindi said: BAISKELI Click to expand... Hakuna mtu aliwahi kuthibitisha hizi tuuma za wizi dhidi ya mwanadiaspora Lema .Sio vizuri kuchafuana ni dalili ya kufilisika kifkra.
Mkirindi said: BAISKELI Click to expand... Hakuna mtu aliwahi kuthibitisha hizi tuuma za wizi dhidi ya mwanadiaspora Lema .Sio vizuri kuchafuana ni dalili ya kufilisika kifkra.
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Jul 26, 2022 #24 Afrika hiihii??