Maoni yangu

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Jana nimekaa nimewaza sana tu .

WANAUME
humu wanaume wanaona kila anayetrend Kwa kucomment ,Kwa posts ni anajiuza ndio mindset yao, so mie nimeona siwezi kuendelea kupretend na kuishi mahali ili hali unaonekana tofauti.

WANAWAKE
Humu wanawake wengine ni wapo Kwa shughuli Moja tu kupendwa , kusifiwa na kupata mtu wa hiyo siku, na Hawa wanawake Wana ID zaidi ya Moja wamechanganyika kutokana na makundi Yao , Kuna walionaelimu ya juu , elimu ya kati, na ya chini . Wote hao wanakazi hiyo wengine wanajuana na wengine hawajuani ,

Inakera sana maana sio kusudio lakila mtu , maana kunawengine wamezoea humu kama burudani Yao, na kufurahia comments na posts zilizo humu . Inauma sana , sana , mf . Wema sepetu hajui kila mtu ila anaumia mtu akimsingizia ubaya wowote ni sawa na humu mtu anaona wewe ni Malaya Ili hali hakujui yaani yeye anassume kuwa wewe ni Malaya.


MASHOGA
Penye wengi Pana mengi humu kuna mashoga wanajidai ni wanawake halafu wanatuchafua sisi maana wanapitia migongoo yetu kumbe ni wanaume na wanaliwa vizuri tu humu kushinda wanawake .



ATTENTION SEEKERS

Ukitoa post mtu anaona kuwa wewe unatafuta wanaume , attention na mengineyo.


LASTLY OPTION
Ifikie hatua ya mtu kujiwekea mipaka mie najiwekea mipaka .

MALEZI YA UNIQUE FLOWER
Mie nimezaliwa nakukuwa katika familia ya dini sijawahi kuletewa shida Wala sijawahi kuhukumiwa na watu walionilea .

Waliomo humu wanaume ni wahanga wangono , Kuna wazee , wazee nusu na vijana wakati na wadogo , wanaochafua humu ni wazee wastaafu na vijana wakati Hawa ndio wanaalergy yangono ambao watu wanasema wanaadhiri wanawake na UTI na mengineyo.

Asanteni Kwa wote walionitusi, dhihaki, na walionishauri , hili jukwa nikubwa Kwa hiyo mtanisahau tu siku Moja .


Ijumapili njema
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Unataka kujiua au

Sema na kaburi kabisa tukuzike

Unasusa susa
 
Mkuu ni fake ID's alafu unaruhusu kuwaza mengi kiasi hicho, ingekuwaje kama tungekua tunatumia true ID's?
Ushauri wangu ni huu kwa yeyote humu jf.
Fuata kuwa interested na kile unachokipenda humu ndani bila kujali wanakuchukuliaje kwa sababu kila mtu ana interest zake(hata kufikiriwa vibaya hizo ni interest za watu, ziheshimiwe). Always be positive.
 
Yani mtu akikereka na jukwaa, uzi au ID, njia ni nyepesi pote kuna option ya ignore, ukiona mtu anasema unamkera na bado akakuandama ujue anakupenda anakuonea wivu anatamani kuwa wewe,

Mtu analeta mada ya kumpamba demu wake au mchepuko we unaumia nini, kupuuza si ni bure!
 
Pole sana mkuu ila yote ni maisha huwezi pendwa na wote na huwezi chukiwa na wote.

Tambua mchawi ana wapenzi wake, jambazi ana vipenzi vyake.

Lakini pia masheikh wana maadui zao, manabii wana maadui zao, wachungaji na mapadri kadhalika.

Duniani hakuna jema wala zuri ambalo halina upinzani.

Hilo kundi la mwisho kulitaja ilibidi litafutiwe namna ili kulitokomeza.
Kungekuwa na operesheni maalumu ya kufichua hao waharifu.

Hiki kilio wakione pia rafiki zangu hawa Antonnia na mwenzake baby zu bila kumsahau aunt yao Bantu Lady

Pole sana dada Unique Flower
 

Kuna wazee kila mara anawaongelea awataje kina nani [emoji2301]
 
Fungua pm kunakitu nikuambie..
 
Jumapili njema Kwako pia ivi umeenda kusali kweli au members wa Jf wamekuharibia siku yako[emoji848][emoji848][emoji848]
Mbona jukwaa lenyewe burudani tosha,nini kuumiza roho🤸🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…