Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Jana nimekaa nimewaza sana tu .
WANAUME
humu wanaume wanaona kila anayetrend Kwa kucomment ,Kwa posts ni anajiuza ndio mindset yao, so mie nimeona siwezi kuendelea kupretend na kuishi mahali ili hali unaonekana tofauti.
WANAWAKE
Humu wanawake wengine ni wapo Kwa shughuli Moja tu kupendwa , kusifiwa na kupata mtu wa hiyo siku, na Hawa wanawake Wana ID zaidi ya Moja wamechanganyika kutokana na makundi Yao , Kuna walionaelimu ya juu , elimu ya kati, na ya chini . Wote hao wanakazi hiyo wengine wanajuana na wengine hawajuani ,
Inakera sana maana sio kusudio lakila mtu , maana kunawengine wamezoea humu kama burudani Yao, na kufurahia comments na posts zilizo humu . Inauma sana , sana , mf . Wema sepetu hajui kila mtu ila anaumia mtu akimsingizia ubaya wowote ni sawa na humu mtu anaona wewe ni Malaya Ili hali hakujui yaani yeye anassume kuwa wewe ni Malaya.
MASHOGA
Penye wengi Pana mengi humu kuna mashoga wanajidai ni wanawake halafu wanatuchafua sisi maana wanapitia migongoo yetu kumbe ni wanaume na wanaliwa vizuri tu humu kushinda wanawake .
ATTENTION SEEKERS
Ukitoa post mtu anaona kuwa wewe unatafuta wanaume , attention na mengineyo.
LASTLY OPTION
Ifikie hatua ya mtu kujiwekea mipaka mie najiwekea mipaka .
MALEZI YA UNIQUE FLOWER
Mie nimezaliwa nakukuwa katika familia ya dini sijawahi kuletewa shida Wala sijawahi kuhukumiwa na watu walionilea .
Waliomo humu wanaume ni wahanga wangono , Kuna wazee , wazee nusu na vijana wakati na wadogo , wanaochafua humu ni wazee wastaafu na vijana wakati Hawa ndio wanaalergy yangono ambao watu wanasema wanaadhiri wanawake na UTI na mengineyo.
Asanteni Kwa wote walionitusi, dhihaki, na walionishauri , hili jukwa nikubwa Kwa hiyo mtanisahau tu siku Moja .
Ijumapili njema