SoC03 Maoni yangu..

SoC03 Maoni yangu..

Stories of Change - 2023 Competition

Petro Masunga

Member
Joined
May 5, 2023
Posts
7
Reaction score
7
Mtazamo wa mwananchi. Kama raia atakaye nchi yake iwe yenye maendeleo na ustawi kwa jamii, ni lazima kila idara iwe na uwajibikaji wa hali ya juu, uwajibikaji huo uwe na nidhamu ya nchi husika, hivyo ujenzi wetu hauwezi kuanzia juu, maana yake siyo serikali italeta maendeleo na ustawi kwa jamii, bali sisi kama wananchi, ndiyo tutakao leta hayo, hivyo maoni yangu ni kila mmoja wetu afahamu wajibu wake kama binadamu, maana yake tukifahamu wajibu wetu kila mmoja katika sehemu yake, atawajibika kikamilifu, kwa sababu ya kutofahamu wajibu wetu, ndiyo maana tuna mifumo ambayo haina urafiki kama nchi inayo piga hatua. Hivyo kabla ya kuitazama hii mifumo ya nchi yetu, kama ni rafiki au la. Kwanza tujitazame sisi kwanza, kama kweli ni binadamu kamili wanaojua jinsi ya kuwa. Asante!
 
Upvote 2
Back
Top Bottom