econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kuna wizi ulitokea? Wapi huko?.
Anyway, Mungu huwa ana standards zake alizojiwekea ambazo mwanadamu hawezi kuziingilia. Ndiyo maama akaweka standards za wanadamu wote kuzaliwa na hatimaye wote kufa.
Assuming ananipa mimi mamlaka ya kuingilia standard zake, katika hili ningebakiza ile ya kuzaliwa tu halafu ile ya kufa ningeondoa MILELE
Mungu ana standards zake ambazo ameziweka kwa ajili yake tu na bila kujali wewe utaziona nzuri au mbaya. Mungu anao uwezo wa kuangamiza hata Taifa zima kwa ajili ya mtu mmoja; huwa hana demokrasia. Anaweza akaamua kuipiga Tanzania nzima kisa tu mmecheza na mtu wake mmoja tu aliyeamua kumuweka madarakani. Nadhani umenielewa
Na Mungu anaweza kumtoa uhai Rais mmoja tu aliyewaumiza watanzania.