MAONO: Baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Dkt. Tulia Ackson. Mbingu zimeridhia na dunia itapokea


Na Mungu anaweza kumtoa uhai Rais mmoja tu aliyewaumiza watanzania.
 
CCM akili yao ni kuugawana Urais, akitoka nani aje nani - masuala ya wanalipelekwa wapi Taifa hilo haliwahusu. Sasa mwizi wa kura jimboni ndo aje kuwa Rais wetu, hebu tuwe serious kidogo watanzania.
 
Unamtakia mikosi dada wa watu...Acheni aendelee kuwa covered mpaka muda sahihi...Ila alilolipanga Mungu, mwanadamu hawezi kupangua, na mimi nasema AMEN

Punguzeni kumuhusisha Mungu na ujinga ni laana.
 
Mnyakyusa wampe nchi hii thubutu! Muulizeni Mwandosya
 
 

Attachments

  • E909394C-BA6E-45B1-AB24-D3F24FC5CA01.jpeg
    45.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…