Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti.
Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo wa NBC PL.
Nina maono, mmoja wapo kati ya Simba na Yanga atafungwa na kushangaza wengi. Ila sijajua ni timu gani itafungwa tusubirie dakika 90 katika viwanja hivyo viwili