Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Sasa kama na wewe mwenye maono haujui, umeanzisha uzi wa nini? Si bora ungekaa na maono yako tukabaki kusubiri dakika 90 za mchezo.Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti.
Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo wa NBC PL.
Nina maono, mmoja wapo kati ya Simba na Yanga atafungwa na kushangaza wengi. Ila sijajua ni timu gani itafungwa tusubirie dakika 90 katika viwanja hivyo viwili
Dah! Mkuu , umetokea sayari gani wewe?Tuanzie hapo kwanza.Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti.
Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo wa NBC PL.
Nina maono, mmoja wapo kati ya Simba na Yanga atafungwa na kushangaza wengi. Ila sijajua ni timu gani itafungwa tusubirie dakika 90 katika viwanja hivyo viwili
Hahaha kwannRamli chonganishi
Acha kiherehere sio lazma ukomentSasa kama na wewe mwenye maono haujui, umeanzisha uzi wa nini? Si bora ungekaa na maono yako tukabaki kusubiri dakika 90 za mchezo.
Sayari ya ccmDah! Mkuu , umetokea sayari gani wewe?Tuanzie hapo kwanza.
Sasa unamtukana nani?eti una maono halafu hujui........ pumbwaaafuuuu!!!!
Ngoja tuoneUto lazm achapwe
Ngoja tuonekolo lazma ile kichapo
Huyu Teko Modise alikuwa anakichafua.Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti.
Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo wa NBC PL.
Nina maono, mmoja wapo kati ya Simba na Yanga atafungwa na kushangaza wengi. Ila sijajua ni timu gani itafungwa tusubirie dakika 90 katika viwanja hivyo viwili
Siyo lazima.Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti.
Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo wa NBC PL.
Nina maono, mmoja wapo kati ya Simba na Yanga atafungwa na kushangaza wengi. Ila sijajua ni timu gani itafungwa tusubirie dakika 90 katika viwanja hivyo viwili
Utabiri wako umetimia kunywa biaNgoja tuone