Nilisikia waliprinti fomu moja tu na printa pamoja na kifaa kilichotumika kuchapa hiyo fomu viliharibiwa kabisaKwani muda umeshaisha wa kuchukua form za kugombea urais huko CCM?
Daah nikajua bado form zinatolewa huko CCM ili achukue maana ndoto zake ni kua rais kupitia CCM tu.Nilisikia waliprinti fomu moja tu na printa pamoja na kifaa kilichotumika kuchapa hiyo fomu viliharibiwa kabisa
Na mlango wa ofisi ukatiwa kufuli?[sina uhakika na hili]
Tunashuhudia zanzibar idadi ikizidi kuongezeka
Sina uhakika kama nikupitia ccm tu kwa siasa zetu hizi Unaweza kuta akaibukia ACT tatizo sheria saivi nadhani zinambana mtu anayehama chama na kugombea uraisiDaah nikajua bado form zinatolewa huko CCM ili achukue maana ndoto zake ni kua rais kupitia CCM tu.
ACT atakuja kwa kazi 1 tu,kugawanya kura za Upinzani then akimaliza kazi hio atarudi zake nyumbani CCM kama wenzake Lowassa/Sumaye.Sina uhakika kama nikupitia ccm tu kwa siasa zetu hizi Unaweza kuta akaibukia ACT tatizo sheria saivi nadhani zinambana mtu anayehama chama na kugombea uraisi
Ndio maana akili yangu inagoma kuamini, chama chenye demokrasia komavu kama hiki wanawezaje kumnyima haki ya kugombea mwanachama mwingine? Yaani wanarudi enzi za kuchagua kivuli?Huwenda hizi ni hearsay tu tujipe muda kwasababh bado zoezi halijafungwa wengine wanaweza kuongezeka
Hahahahahah Ati wamefyata mkiaPata Picha ndio Chadema Leo hii wangeprint na wao Form moja kisha akapewa mgombea wao tu.....halafu huyo Mgombea angekua The Freeman! Dah tusingelala wallah. Ila wao wote wamefyata mikia yao kama mbwa koko wa kijijini kwetu
Ndio maana akili yangu inagoma kuamini, chama chenye demokrasia komavu kama hiki wanawezaje kumnyima haki ya kugombea mwanachama mwingine? Yaani wanarudi enzi za kuchagua kivuli?Huwenda hizi ni hearsay tu tujipe muda kwasababh bado zoezi halijafungwa wengine wanaweza kuongezeka
Ushauri mzuri ila kugombea pia sio kuharibu heshima. Ni pamoja na kuongeza CV na kuwa mmoja wa watu wanaoingia ktk historia ya taifa hili, historia itakayo somwa na kusimuliwa kizazi hata kizaziNi haki ya Membe kugombea chama chochote atakacho, ila sio lazima awemgombea kwa chama chochote.anaweza kaa akatulia ili kutunza heshma yake ya kulitumikia taifa la TZ.
Mpwa tuchati....Hahahahahah Ati wamefyata mkia
Saivi ukijiinua nakuleta usumbufu vumbi la kisiasa likitulia jiandae kutembelewa na taasisi zifuatazo
Takukuru wakikuhoji nyumba ulizojenga ulitoa wapi pesa
Tra wakija na takwimu za kodi ulizo kwepa na mambo mengine kama hayo.
Nani sasa anataka usumbufu kama huo kisa fomu ya uraisi?
Akigombea kwa chama kingine anaharibuje heshima yake ya kulitumikia Taifa?Ni haki ya Membe kugombea chama chochote atakacho, ila sio lazima awemgombea kwa chama chochote.anaweza kaa akatulia ili kutunza heshma yake ya kulitumikia taifa la TZ.
Siasa zetu zinafahamika bwashee.utasikia kijinyea,mwizi katia mimba mke wamtu n.k.alafu mwisho wa siku anashindwa na kurudi alipo toka yani CCM.alafu itaanza zamu nyingine ya matusi kule atakapotoka kwenda CCM.Akigombea kwa chama kingine anaharibuje heshima yake ya kulitumikia Taifa?
Umenichekesha sana nakumbuka ya 2015Siasa zetu zinafahamika bwashee.utasikia kijinyea,mwizi katia mimba mke wamtu n.k.alafu mwisho wa siku anashindwa na kurudi alipo toka yani CCM.alafu itaanza zamu nyingine ya matusi kule atakapotoka kwenda CCM.
Ulisikia....... That's not a good word for a great thinker!Nilisikia waliprinti fomu moja tu na printa pamoja na kifaa kilichotumika kuchapa hiyo fomu viliharibiwa kabisa
Na mlango wa ofisi ukatiwa kufuli?[sina uhakika na hili]
Tunashuhudia zanzibar idadi ikizidi kuongezeka