Uchaguzi 2020 Maono, malengo, matarajio ya Membe kuwania Urais yameisha rasmi?

Nilisikia waliprinti fomu moja tu na printa pamoja na kifaa kilichotumika kuchapa hiyo fomu viliharibiwa kabisa

Na mlango wa ofisi ukatiwa kufuli?[sina uhakika na hili]

Tunashuhudia zanzibar idadi ikizidi kuongezeka

Zanziba raisi anamaliza muda hivyo wagombea watakuwa wengi,
Huku bara Membe alimpuuza katibu mkuu baada ya kuitwa, sasa anaona aibu kufuata fomu
 
Ushauri mzuri ila kugombea pia sio kuharibu heshima. Ni pamoja na kuongeza CV na kuwa mmoja wa watu wanaoingia ktk historia ya taifa hili, historia itakayo somwa na kusimuliwa kizazi hata kizazi
Mkuu bora abaki na hiyo sifa ya kuwa waziri na kutumikia taasisi nyeti ya usalama wa taifa.
kuliko kwenda kuoga matusi na dharau kwenye majukwaa ya siasa na watu ambao hata kusoma na kiandika hawajui na kupelekea kushusha hadhi yake eti kwa kutafuta CV ya kugombea urais.
 
Ila kweli buana unaweza shangaa voicenote zikaanza kuvujishwa kwa wingi ili lengo uchafuke zaidi

Swala la mabilioni ya ghadaf n.k
 
Zanziba raisi anamaliza muda hivyo wagombea watakuwa wengi,
Huku bara Membe alimpuuza katibu mkuu baada ya kuitwa, sasa anaona aibu kufuata fomu
Unaenda tu kijasiri kwani ni haki yako
 
Kwani muda umeshaisha wa kuchukua form za kugombea urais huko CCM?
Form ilitoka moja tuu na ishajazwa sasa kama anataka aende kwa mwenyekiti wa chama akachukue hiyo iliojazwa akatoe kopi
 
Nilisikia waliprinti fomu moja tu na printa pamoja na kifaa kilichotumika kuchapa hiyo fomu viliharibiwa kabisa

Na mlango wa ofisi ukatiwa kufuli?[sina uhakika na hili]

Tunashuhudia zanzibar idadi ikizidi kuongezeka
Hiyo ni habari iliopo na kama wiki 2 nyuma nilileta hizo tetesi humu ila mods wakapitia ule uzi fasta kuufuta
 
Nilisikia waliprinti fomu moja tu na printa pamoja na kifaa kilichotumika kuchapa hiyo fomu viliharibiwa kabisa

Na mlango wa ofisi ukatiwa kufuli?[sina uhakika na hili]

Tunashuhudia zanzibar idadi ikizidi kuongezeka
Hiyo ni habari iliopo na kama wiki 2 nyuma nilileta hizo tetesi humu ila mods wakapitia ule uzi fasta kuufuta
 
Ila kweli buana unaweza shangaa voicenote zikaanza kuvujishwa kwa wingi ili lengo uchafuke zaidi

Swala la mabilioni ya ghadaf n.k
Yap ,,,ukitaka wewe Mr IQ mtaani kwenu yajulikane mabaya yako gombea hata uwenyekiti wa mtaa.basi utashangaa watu wanatoa mpaka mambo yako ya chumbani ya mwaka 2009 ilhali wewe mwenhewe ushasahau au haukufanya unapakaziwa tu.
 
Nilisikia waliprinti fomu moja tu na printa pamoja na kifaa kilichotumika kuchapa hiyo fomu viliharibiwa kabisa

Na mlango wa ofisi ukatiwa kufuli?[sina uhakika na hili]

Tunashuhudia zanzibar idadi ikizidi kuongezeka
Basi kama ndio hivyo atakuja" KUNUKA"kwenye National Executive Committee.
 
MEMBE IS NO LONGER A MEMBER OF OUR CCM
 
Membe anajua fika kwamba kwa nyakati hizi hawezi kushinda kiti cha Urais nje ya CCM. Edward Lowassa ametoa somo hilo mnamo mwaka 2015.

Mimi sio msemaji wa Membe, lakini kwa hesabu za haraka naamini anaweza kugombea mwaka 2025 kupitia CCM baada ya kurudishiwa uanachama.
 
Kwani Uanachama si alifutwa?
 
Hata akichukua fomu hawezi kuwa kama moyo wake unavyomdanganya!!!

Yule ni tapeli kama walivyomatapeli wengine!
 
Nilisikia waliprinti fomu moja tu na printa pamoja na kifaa kilichotumika kuchapa hiyo fomu viliharibiwa kabisa

Na mlango wa ofisi ukatiwa kufuli?[sina uhakika na hili]

Tunashuhudia zanzibar idadi ikizidi kuongezeka
Sio mchezo ni jinsi gani inaonesha kuwa jamaa anapenda sana madaraka na kumuofia sana Membe kama haya usemayo ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…