Uchaguzi 2020 Maono, malengo, matarajio ya Membe kuwania Urais yameisha rasmi?

Fomu ipo moja tu ya ccm hao wengine wakatoe photocopy.
 
Unataka achukue fomu kupitia chama gani?
 
Sio mchezo ni jinsi gani inaonesha kuwa jamaa anapenda sana madaraka na kumuofia sana Membe kama haya usemayo ni kweli.
Ukishazoea kuabudiwa ni ngumu kuishi bila kuabudiwa utakufa mapema.
Tusubirie tu mnyoosho wa awamu ya pili tulimie kucha sasa
 
Mbona walishaprint moja tu ya lowassa 2015
Pata Picha ndio Chadema Leo hii wangeprint na wao Form moja kisha akapewa mgombea wao tu.....halafu huyo Mgombea angekua The Freeman! Dah tusingelala wallah. Ila wao wote wamefyata mikia yao kama mbwa koko wa kijijini kwetu
 
Kama ana ndoto hiyo si anaweza kugombea kupitia chama chochote kama huko ccm wamembana.
 
Kwani hakufukuzwa uanachama uyo?
 
Mh. Membe muda ndio huu watu wanachukua fomu za ugombea nawe kama mtu ambaye kwa namna fulani ulijipambanua kama mtu mwenye malengo ya kuwa Rais siku moja usipoteze ata nukta kachukue sasa.
Ngoja tusubiri tuone. Ila kwa kiasi fulani naona kimya maana tangu litoke tamko la kufukuzwa chamani amekuwa kimya sana
 
Pata Picha ndio Chadema Leo hii wangeprint na wao Form moja kisha akapewa mgombea wao tu.....halafu huyo Mgombea angekua The Freeman! Dah tusingelala wallah. Ila wao wote wamefyata mikia yao kama mbwa koko wa kijijini kwetu
Uchaguzi uliopita mliprint copy ngapi mkuu?na walichukua wangapi?au ndo mambo ya nyani
 
Tamaa yake si urais. Anaweza kuchukua hata zanzibar sio neno😂😂
 
Pata Picha ndio Chadema Leo hii wangeprint na wao Form moja kisha akapewa mgombea wao tu.....halafu huyo Mgombea angekua The Freeman! Dah tusingelala wallah. Ila wao wote wamefyata mikia yao kama mbwa koko wa kijijini kwetu
Mbona ya uenyekit ilitoka moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…