Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Kila siku Korea kaskazini inajaribu kujitutumua mbele ya Marekani kwa kujaribu kuwatisha Korea Kusini na Japan kwa majaribio ya silaha za nyuklia.
Majaribio hayo yanaikera Marekani kwa kiwango kikubwa ila kwa usalama na amani ya dunia anaamua kukaa kimya wala kutokujibu majaribio hayo huku uwezo wa kufanya hivyo anao.
Huwa kila siku nawaza ikaja kutokea siku Marekani akachoka uchokonozi wa Korea kaskazini hali itakuwaje? Maana kila anachofanya kinamfanya Marekani awaze kwenda mbali zaidi na sote tunajua siku Marekani ikiamua nini kitatokea kwa Korea kaskazini.
Badala ya kuona Korea kaskazini kaota kimkia Cha kupambana na Marekani basi tutumie muda huu kuiombea amani iendelee kutawala na Marekani asiwaze chochote kwa korea
Hakuna namna yoyote ya Korea kuipiga Marekani na uwezo huo hana. Nchi pekee yenye uwezo na nguvu ya kupanbana na Marekani ni Urusi tu dunia hii nzima. Korea kaskazini anajaribu kwa kuonja sumu kwa kulamba, ni hatari Sana.
Nimeona kwenye maono juu ya Marekani kupigana na nchi fulani na nchi hiyo kufutiliwa mbali na kila kilichomo ndani ya nchi hiyo kuangamizwa. Tusipuuze maono ,Mungu anajifunua kupitia maono.
Zaidi ya yote, tuendelee kuomba amani dunia na tuliombee taifa la Korea