Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiduku anatamani sana marekani ijichanganye ili awapige na kitu kizito sana. Lakini marekani ameshuka mchezo na ameishia kubweka tu kama kawaKila siku Korea kaskazini inajaribu kujitutumua mbele ya Marekani kwa kujaribu kuwatisha Korea Kusini na Japan kwa majaribio ya silaha za nyuklia.
Majaribio hayo yanaikera Marekani kwa kiwango kikubwa ila kwa usalama na amani ya dunia anaamua kukaa kimya wala kutokujibu majaribio hayo huku uwezo wa kufanya hivyo anao.
Huwa kila siku nawaza ikaja kutokea siku Marekani akachoka uchokonozi wa Korea kaskazini hali itakuwaje? Maana kila anachofanya kinamfanya Marekani awaze kwenda mbali zaidi na sote tunajua siku Marekani ikiamua nini kitatokea kwa Korea kaskazini.
Badala ya kuona Korea kaskazini kaota kimkia Cha kupambana na Marekani basi tutumie muda huu kuiombea amani iendelee kutawala na Marekani asiwaze chochote kwa korea
Hakuna namna yoyote ya Korea kuipiga Marekani na uwezo huo hana. Nchi pekee yenye uwezo na nguvu ya kupanbana na Marekani ni Urusi tu dunia hii nzima. Korea kaskazini anajaribu kwa kuonja sumu kwa kulamba, ni hatari Sana.
Nimeona kwenye maono juu ya Marekani kupigana na nchi fulani na nchi hiyo kufutiliwa mbali na kila kilichomo ndani ya nchi hiyo kuangamizwa. Tusipuuze maono ,Mungu anajifunua kupitia maono.
Zaidi ya yote, tuendelee kuomba amani dunia na tuliombee taifa la Korea
Urusi level yake ni Ukraine na usa utamuonea tu huyo mrusi.Kila siku Korea kaskazini inajaribu kujitutumua mbele ya Marekani kwa kujaribu kuwatisha Korea Kusini na Japan kwa majaribio ya silaha za nyuklia.
Majaribio hayo yanaikera Marekani kwa kiwango kikubwa ila kwa usalama na amani ya dunia anaamua kukaa kimya wala kutokujibu majaribio hayo huku uwezo wa kufanya hivyo anao.
Huwa kila siku nawaza ikaja kutokea siku Marekani akachoka uchokonozi wa Korea kaskazini hali itakuwaje? Maana kila anachofanya kinamfanya Marekani awaze kwenda mbali zaidi na sote tunajua siku Marekani ikiamua nini kitatokea kwa Korea kaskazini.
Badala ya kuona Korea kaskazini kaota kimkia Cha kupambana na Marekani basi tutumie muda huu kuiombea amani iendelee kutawala na Marekani asiwaze chochote kwa korea
Hakuna namna yoyote ya Korea kuipiga Marekani na uwezo huo hana. Nchi pekee yenye uwezo na nguvu ya kupanbana na Marekani ni Urusi tu dunia hii nzima. Korea kaskazini anajaribu kwa kuonja sumu kwa kulamba, ni hatari Sana.
Nimeona kwenye maono juu ya Marekani kupigana na nchi fulani na nchi hiyo kufutiliwa mbali na kila kilichomo ndani ya nchi hiyo kuangamizwa. Tusipuuze maono ,Mungu anajifunua kupitia maono.
Zaidi ya yote, tuendelee kuomba amani dunia na tuliombee taifa la Korea
Iko siku utaamka, endelea kufunikwa.Pale hamna kitu. Watu maskin kama wamatumbi wa huku kwetu. Angalia wenzao south Korea wananchi wake wanavyokula Bata. Ila wanzao ni umaskin wa kutupwa. Pale kiduku ndo anakula Bata tu
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Jitahidi kutafuta maarifa utajua ukweli siku moja. Usiwe brainwashed kirahisi.Russia atapigana miaka kumi atakaa atazorota
Mchina juzijuzi busara zilimuokoa angepewa vita na Taiwan angezorota.
Huyo Korea Kaskazini ni mandoga kwa USA.
Kihalisia kwa sasa ni vigumu sana kuishinda USA kijeshi
American nigga🤣🤣🤣ulichoandika kinasadifu mengi kupitia jina lako.jifunze jifunze.Haya Basi Tufanye North Korea ni matajiri wa kutupwa maana ndo unachotaka kusikia.
Russia atapigana miaka kumi atakaa atazorota
Mchina juzijuzi busara zilimuokoa angepewa vita na Taiwan angezorota.
Huyo Korea Kaskazini ni mandoga kwa USA.
Kihalisia kwa sasa ni vigumu sana kuishinda USA kijeshi
Ukipewa nafasi ya kuhamua Russia utakubali? Uchina je utakubali?Kweli?? Ebu tujuze ni lini Merikani iliwahi kupigana vita na Taifa lenye uwezo mkubwa kijeshi - lini?? Wao ni mabingwa wa kuvamia/shambulia kijeshi vinchi vidogo vidogo ambavyo ni dhaifu kijeshi,mikwara mingi na makerere 24X7 - kwa hilo hawajambo sana!!
Cha ajabu zaidi,hata katika uvamizi/mashambulizi ya vinchi vidogo vidogo USA haiendi peke yake mara zote ushirikisha mataifa mengine yenye akili fyatu kama wao - carpet bombing (so called shock and awe) nchi husika back to stone age era wanafikia hatua ya kutumia mpaka depleted Uranium ammunition - hawana UTU hata kidogo.
Propaganda ya USA imekufikia ,hiyo Bata unayoongelea Ni ushoga, Bata,uchumu,furaha ni kuwa na silaha na jeshi Bora ili kila mmoja akuheshimu na kukuogopa, unaonaje ule Bata,uchumu mzuri llkn Kuna mtu anakupanhia kila kitu na unafuata hapo Kuna Bata kweli.Pale hamna kitu. Watu maskin kama wamatumbi wa huku kwetu. Angalia wenzao south Korea wananchi wake wanavyokula Bata. Ila wanzao ni umaskin wa kutupwa. Pale kiduku ndo anakula Bata tu
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Kiduku na genge lake, hata russia wale wazee ndio wanaokula sana bata wakiongozwa na kibopa Putin. Nchi za kijamaa ni tatizo.Pale hamna kitu. Watu maskin kama wamatumbi wa huku kwetu. Angalia wenzao south Korea wananchi wake wanavyokula Bata. Ila wanzao ni umaskin wa kutupwa. Pale kiduku ndo anakula Bata tu
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Kiduku anatamani sana marekani ijichanganye ili awapige na kitu kizito sana. Lakini marekani ameshuka mchezo na ameishia kubweka tu kama kawa
Tafadhali usichoke kumuelewesha.Wataalamu wa uchumi wanaposema kuwa Korea Kaskazini ni nchi masikini huwa hawatumii African standards kwa kuilinganisha na nchi kama Tanzania. Huwa wanatumia indicators nyingi ikiwemo ukuaji wa GDP ya nchi husika. Hizi sio porojo za mtaani.
In short, kulingana na economic indicators zote muhimu zinazotambulika duniani kwa sasa, Korea Kaskazini ni nchi masikini.