Maono: Siku Marekani akichoka visa vinavyofanywa na Korea Kaskazini huenda ataifuta kabisa

Ina maana hujui kwamba Urusi na China ni marafiki wa Korea kaskazini? Marekani akiigusa korea amegusa bloku lote la mashariki
 
Kiduku anatamani sana marekani ijichanganye ili awapige na kitu kizito sana. Lakini marekani ameshuka mchezo na ameishia kubweka tu kama kawa
 
Urusi level yake ni Ukraine na usa utamuonea tu huyo mrusi.
 
Russia atapigana miaka kumi atakaa atazorota
Mchina juzijuzi busara zilimuokoa angepewa vita na Taiwan angezorota.
Huyo Korea Kaskazini ni mandoga kwa USA.
Kihalisia kwa sasa ni vigumu sana kuishinda USA kijeshi
Jitahidi kutafuta maarifa utajua ukweli siku moja. Usiwe brainwashed kirahisi.
 
Russia atapigana miaka kumi atakaa atazorota
Mchina juzijuzi busara zilimuokoa angepewa vita na Taiwan angezorota.
Huyo Korea Kaskazini ni mandoga kwa USA.
Kihalisia kwa sasa ni vigumu sana kuishinda USA kijeshi

Kweli?? Ebu tujuze ni lini Merikani iliwahi kupigana vita na Taifa lenye uwezo mkubwa kijeshi - lini?? Wao ni mabingwa wa kuvamia/shambulia kijeshi vinchi vidogo vidogo ambavyo ni dhaifu kijeshi,mikwara mingi na makerere 24X7 - kwa hilo hawajambo sana!!

Cha ajabu zaidi,hata katika uvamizi/mashambulizi ya vinchi vidogo vidogo USA haiendi peke yake mara zote ushirikisha mataifa mengine yenye akili fyatu kama wao - carpet bombing (so called shock and awe) nchi husika back to stone age era wanafikia hatua ya kutumia mpaka depleted Uranium ammunition - hawana UTU hata kidogo.
 
Ukipewa nafasi ya kuhamua Russia utakubali? Uchina je utakubali?
Ila USA hutajiuliza.....hata hao waarabu wanataman kuishi USA...kwa hiyo ni kawaida kwa masikini kumchukia tajiri

Ukiwa maskini usiwe na chuki na tajiri,
Mfano jiulize Russia kweli ni wa kushindwa kuiteka Kiev ndani ya wiki? Vipi Russia?

Ikumbukwe Russia rank second if not first in military powers, pia ni kubwa mara nne zaidi kuliko ulaya in general bado anashindwa ikalisha Ukraine
 
Pale hamna kitu. Watu maskin kama wamatumbi wa huku kwetu. Angalia wenzao south Korea wananchi wake wanavyokula Bata. Ila wanzao ni umaskin wa kutupwa. Pale kiduku ndo anakula Bata tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Propaganda ya USA imekufikia ,hiyo Bata unayoongelea Ni ushoga, Bata,uchumu,furaha ni kuwa na silaha na jeshi Bora ili kila mmoja akuheshimu na kukuogopa, unaonaje ule Bata,uchumu mzuri llkn Kuna mtu anakupanhia kila kitu na unafuata hapo Kuna Bata kweli.
Ni wali ndondo ukiwa na Uhuru na furaha kuliko kila biriyani huku unachapa viboko
 
Pale hamna kitu. Watu maskin kama wamatumbi wa huku kwetu. Angalia wenzao south Korea wananchi wake wanavyokula Bata. Ila wanzao ni umaskin wa kutupwa. Pale kiduku ndo anakula Bata tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Kiduku na genge lake, hata russia wale wazee ndio wanaokula sana bata wakiongozwa na kibopa Putin. Nchi za kijamaa ni tatizo.

Utafika wakati North Korea atakuja kunyooshwa vizuri tu.
 
Kiduku anatamani sana marekani ijichanganye ili awapige na kitu kizito sana. Lakini marekani ameshuka mchezo na ameishia kubweka tu kama kawa

Well said, swali ni: wangapi wanatambua ukweli huo ambao ni wazi kabisa - yaani hawana habari kwamba Korea Kaskazini inamiliki thermonuclear ICBMs zenye uwezo mkubwa wa kushambulia sehemu yoyote ndani ya USA, kuna habari za kuaminika kwamba wanazo pia hypersonic cruise missiles and glide vehicles kitu ambacho hata Amerika hawana!! Bottom line is: msiwe mnadharau mataifa mengine kwa kutokana na propaganda za media za magharibi - yaani hata hamjiulizi pamoja na makerere yote na mikwara chungu nzima ya Merikani dhidi ya Kidugu kwa nini Merikani inagwaya kuishambulia kijeshi Korea ya kaskazini - jibu mnalo.
 
Tafadhali usichoke kumuelewesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…