Maono timu zitakazotinga fainal klabu Bingwa barani Afrika

Maono timu zitakazotinga fainal klabu Bingwa barani Afrika

Joined
Feb 13, 2024
Posts
80
Reaction score
204
Habari zenu wadau wote wa jukwaa hili la michezo, kwanza kabisa niseme tu mimi nimekua nikafatilia Kwa club michuano hii mikubwa kwa ngazi ya vilabu barani Africa.

Nikitazama kwa jicho la kiufundi kabisa naiona timu ambalo yupo Yanga, litatoa timu zitazokutana fainal au timu mojawapo katika kundi hilo atacheza fainal.

Utabiri wangu fainal itakutanisha hizi timu
Yanga vs Al ihly .
au
Yanga vs Mamelod sundown

Ngoja tuone, wakati utaongea
 
Robo fainali, Mamelodi vs Yanga

Fainali Mamelodi vs TP Mazembe
 
Back
Top Bottom