KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Tapeli kaziniBaada yakutoa huu unabii meza ikapinduliwa je Mungu atapotezea neno lisitimie ama atafanya kwa namna wanadam hatukuwahi tafakari..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tapeli kaziniBaada yakutoa huu unabii meza ikapinduliwa je Mungu atapotezea neno lisitimie ama atafanya kwa namna wanadam hatukuwahi tafakari..
😁😁😁😁😆😆😆😂😂😂Baada yakutoa huu unabii meza ikapinduliwa je Mungu atapotezea neno lisitimie ama atafanya kwa namna wanadam hatukuwahi tafakari..
Ndiyo hivyo Mungu hapangiwi.Baada yakutoa huu unabii meza ikapinduliwa je Mungu atapotezea neno lisitimie ama atafanya kwa namna wanadam hatukuwahi tafakari..
Napenda the facts that hukimbii nyuzi zako.Baada yakutoa huu unabii meza ikapinduliwa je Mungu atapotezea neno lisitimie ama atafanya kwa namna wanadam hatukuwahi tafakari..
Utabiri wenye maelekezi ya Mungu mwanadamu ataupindishaje!?Je huu ndio utabiri utatimia ama mwanadam ataupindisha. God know 🙏
Naona mwanadamu ameshapindisha utabiri.Je huu ndio utabiri utatimia ama mwanadam ataupindisha. God know 🙏
Naona white paper imeshatoka na Mzee anayeheshimika ndani ya chama ameshatoa ushauri wake na majina yamepitishwa tayari.Naona mwanadamu ameshapindisha utabiri.
Hapo kwenye bold nafikiri maombi yamesaidia. Nimesali sana!!Haya ndio maono ya 2025
Je itakuwaje watu au mtu atakuwa hajaridhika na taarifa ya barua hiyo ndugu zangu tusali pasitokee jambo kama Hilo itakuwa huzuni kwa Taifa kwa kupindisha mausia yaliomo ndani ya hiyo white paper. Na Uzi huu utakuwa shahidi yakuwa Mungu yupo na anawatumia watu kupata siri ambazo hazipo ktk macho ya wanadam.
Usiache liombea Taifa.
Kumbuka the white paper 2025 will change history of Tz.
Update.
Connect with Bob junior Simba alie uwawa na madume wenzake
Tatizo ni kuwa aliyebahatika kusikia aka cram badala ya kuitafsiri vilivyo😂Naona white paper imeshatoka na Mzee anayeheshimika ndani ya chama ameshatoa ushauri wake na majina yamepitishwa tayari.