Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

Hakuna uchaguzi umekuwaga mwepezi TZ.
Uzuri wa 2015 mgombea alijulikana tabia yake toka akiwa waziri. 2025, Mmmmm, wengi hawamjui kama huyu ni mwanasiasa mkongwe japo wanajua kuwa alikuwa kwenye siasa muda mrefu.
Kifupi zungumzieni 2030, kwani 2025 mchezo umeshakwisha.
Dunia ni pembetatu sio tena duara
 
Naona anamaanisha hatari ya maza kukatwa au kurudi kwa bba 2025
 
2025 ccm byebye usanii, uja na ujanga uongo, wizi unafikia mwisho
 
Haya ndio maono ya 2025

Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025.
Haya ndio yatatokea.

Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili ndani yakikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa ktk vyumba vya siri vya Taifa atakuwa amekabidhiwa karatasi ya siri kutoka ktk vyumba vya siri vya Taifa baruwa hii hakuna anaye ijuwa wala kujuwa kilicho ndani.

Ila baruwa hiyo itakuwa na mwandiko wa mwanadam. Ndipo itasomwa wenye nguvu watalia nakufuta machozi wenye imani ndogo watazimia nakukimbizwa hosp za siri za Taifa.

Baada ya hapo atachaguliwa mzee mmoja ambaye anaheshimima nakukubalika na chama kuja kuwataarifu kwa ufupi yaliomo ndani ya baruwa ya siri.

Namwisho Taifa litapewa Taarifa.

Je itakuwaje watu au mtu atakuwa hajaridhika na taarifa ya barua hiyo ndugu zangu tusali pasitokee jambo kama Hilo itakuwa huzuni kwa Taifa kwa kupindisha mausia yaliomo ndani ya hiyo white paper. Na Uzi huu utakuwa shahidi yakuwa Mungu yupo na anawatumia watu kupata siri ambazo hazipo ktk macho ya wanadam.
Usiache liombea Taifa.
Kumbuka the white paper 2025 will change history of Tz.

Update.
Connect with Bob junior Simba alie uwawa na madume wenzake
Mnaleta siasa za kipuuzi za kusaka madaraka kwa njia chafu, wananchi wamechoka na hicho chama chenu kinachoshurutisha kukaa madarakani. Mtafanyiana umafia wa kipuuzi lakini kiuhalisia ni kizazi kimewachoka. Fanyianeni umafia wa kijinga lakini kizazi hiki sio Cha chama hicho.
 
Haya ndio maono ya 2025

Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025.
Haya ndio yatatokea.

Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili ndani yakikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa ktk vyumba vya siri vya Taifa atakuwa amekabidhiwa karatasi ya siri kutoka ktk vyumba vya siri vya Taifa baruwa hii hakuna anaye ijuwa wala kujuwa kilicho ndani.

Ila baruwa hiyo itakuwa na mwandiko wa mwanadam. Ndipo itasomwa wenye nguvu watalia nakufuta machozi wenye imani ndogo watazimia nakukimbizwa hosp za siri za Taifa.

Baada ya hapo atachaguliwa mzee mmoja ambaye anaheshimima nakukubalika na chama kuja kuwataarifu kwa ufupi yaliomo ndani ya baruwa ya siri.

Namwisho Taifa litapewa Taarifa.

Je itakuwaje watu au mtu atakuwa hajaridhika na taarifa ya barua hiyo ndugu zangu tusali pasitokee jambo kama Hilo itakuwa huzuni kwa Taifa kwa kupindisha mausia yaliomo ndani ya hiyo white paper. Na Uzi huu utakuwa shahidi yakuwa Mungu yupo na anawatumia watu kupata siri ambazo hazipo ktk macho ya wanadam.
Usiache liombea Taifa.
Kumbuka the white paper 2025 will change history of Tz.

Update.
Connect with Bob junior Simba alie uwawa na madume wenzake
⏰️
 
Hii nchi haina kitu chochote kama deep state au wazee wenye siri za taifa.ni kutishiana tishiana tu.Mambo yasingekua yanaenda kiholela holela
Tuna walioshiba wakaoo magorofani wakijifananisha na walala hoi wanaochapa lapa kutwa,kuchwa.
 
Haya ndio maono ya 2025

Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025.
Haya ndio yatatokea.

Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili ndani yakikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa ktk vyumba vya siri vya Taifa atakuwa amekabidhiwa karatasi ya siri kutoka ktk vyumba vya siri vya Taifa baruwa hii hakuna anaye ijuwa wala kujuwa kilicho ndani.

Ila baruwa hiyo itakuwa na mwandiko wa mwanadam. Ndipo itasomwa wenye nguvu watalia nakufuta machozi wenye imani ndogo watazimia nakukimbizwa hosp za siri za Taifa.

Baada ya hapo atachaguliwa mzee mmoja ambaye anaheshimima nakukubalika na chama kuja kuwataarifu kwa ufupi yaliomo ndani ya baruwa ya siri.

Namwisho Taifa litapewa Taarifa.

Je itakuwaje watu au mtu atakuwa hajaridhika na taarifa ya barua hiyo ndugu zangu tusali pasitokee jambo kama Hilo itakuwa huzuni kwa Taifa kwa kupindisha mausia yaliomo ndani ya hiyo white paper. Na Uzi huu utakuwa shahidi yakuwa Mungu yupo na anawatumia watu kupata siri ambazo hazipo ktk macho ya wanadam.
Usiache liombea Taifa.
Kumbuka the white paper 2025 will change history of Tz.

Update.
Connect with Bob junior Simba alie uwawa na madume wenzake
Game 🎮
 
Back
Top Bottom