Maono ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi

Shakahola

New Member
Joined
May 13, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Habari,

Kwa muda sasa tangu nimehitimu chuo Kikuu nimekuwa na ndoto ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi japo kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2018 sijafanikiwa kupata ajira hivyo nimekuwa nikijiajiri mwenyewe kupitia kituo Cha Masomo ya ziada ( Tuition Center) na Chekechea.

Je Kuna mtu yeyeto ambaye ana ndoto kama yangu, au ameshaanza anaweza kushea hapa safari yake !?
  • Aliwezaje kupata mtaji wa kuanzia
  • Aliwezaje kukusanya pesa ya kununua eneo, kujenga, samani, gari la shule N.K??
 
Uko mji/eneo gani?

Kwa vile una Tution center tayari, umeshapiga hatua moja mbele

Kwasasa unachotakiwa kufanya ni kuwa na focus

Kwenye hiyo center yako, fanya marekebisho madogo madogo yatakayowezesha ku accomodate watoto wadogo (miaka 3+) kisha pageuze kuwa Day care.

Ukifanya vizuri kwenye Day care, watoto hao hao ndio watakuanzishia Nursary na kuendelea.

Shule nyingi zinaanzia sehemu ya kukodi, ukishakaa vizuri utanunua eneo
 
Gari la shule siyo issue,shule nyingi zimeingia ubia na watu baki ndiyo wanasafirisha wanafunzi.
 
Uko mji/eneo gani?

Kwa vile una Tution center tayari, umeshapiga hatua moja mbele

Kwasasa unachotakiwa kufanya ni kuwa na focus

Kwenye hiyo center yako, fanya marekebisho madogo madogo yatakayowezesha ku accomodate watoto wadogo (miaka 3+) kisha pageuze kuwa Day care.

Ukifanya vizuri kwenye Day care, watoto hao hao ndio watakuanzishia Nursary na kuendelea.

Shule nyingi zinaanzia sehemu ya kukodi, ukishakaa vizuri utanunua eneo
- Nimejaribu kufatilia mahitaji ya eneo kuanzisha shule ni ekari 3, na kwa maeneo niliyopo heka Moja naweza pata kwa 20M sasa namna ya kukusanya hiyo pesa ndio changamoto kwangu au nitumiale mkakati gani kuweza kuipata
 
Back
Top Bottom