Maono ya kutisha kupitia ndoto ya usiku wa jumapili

Matendo ya mitume 10:38 inasema
Mnajua Yesu wa nazareth na jinsi Mungu alivyomteua kwa kummiminia Roho mtakatifu na Nguvu,Mungu alikuwa pamoja naye,Yeye alikwenda huko na huko akitenda mema na kuwaponya wote waliokuwa wakionewa na ibilisi'
Yesu ndio anayefungua kutoka katika migandamizo ya ibilisi kwa kuwa umemuamini kuwa anaweza basi nawe utapata sawasawa na imani yako.

sawa baba mtumishi
nahitaji delivarence mwenzio!!
 
Kama ilivyoandikwa Mungu hataliacha neno la mtumishi wake lidondoke chini ndivyo ilivyokuwa kwa huu unabii alioutoa kupitia kinywa cha mtumishi wake.
Ambapo katika mji wa niger kumetokea mafuriko makubwa na yameua zaidi ya watu 20 na watu zaidi ya 75000 kukosa makazi.na waathirika wakubwa ni watoto.katika maono niliona wimi kubwa likija na katika habari ni kuwa mto niger ulifurika na kusababisha madhara hayo.
Hii ni ishara ya siku za mwisho kama ilivyo katika kitabu cha joeli 28 neno la Mungu linasema wazee wataota ndoto na vijana kuona maono siku za mwisho.
Mungu anapotoa nabii ni kwa ajili ya kujifunza na kugeuka,,tubuni mkapate kusamehewa dhambi zenu.Yesu yuaja

Niger: Flooding Devastates Niger - allAfrica.com

na Niger asks for foreign help for flood victims | Fox News

CC; Mamndenyi Bishanga Bujibuji Arushaone Lady doctor Passion Lady Madame B C6 Arabela
 
Last edited by a moderator:

Isijekuwa ulichukuliwa na majini bila kujijua kamanda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…