Maono ya Rais Samia yanayogusa maisha yangu katika Sekta ya Afya

Maono ya Rais Samia yanayogusa maisha yangu katika Sekta ya Afya

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Serikali ya Awamu ya Sita inatekeleza Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote nchi nzima kuanzia zahanati za vijijini hadi hospitali za kitaifa. Lengo likiwa kuzuia ugonjwa kuwa chanzo cha umaskini.

FAIDA KUU 4 KWAKO NA FAMILIA

• Matibabu Bila Pesa Taslimu: Nenda hospitali, pata vipimo, na chukua dawa kwa kadi yako ya bima bila kutoa fedha mfukoni papo hapo!

• Ulinzi kwa Kaya Maskini: Serikali inagharimia bima BURE kwa zaidi ya kaya maskini na hatarishi milioni 1.4 kupitia TASAF.

• Ubingwa Umesogezwa Karibu: Huduma za kibingwa, CT-Scan, na MRI sasa zipo kwenye hospitali za mikoa yako. Huhitaji kusafiri mbali!

• Uhakika wa Dawa: Bohari ya Dawa (MSD) imeimarishwa ili kuhakikisha dawa zote muhimu zinapatikana ndani ya vituo vya umma.
IMG-20260930-WA0043.jpg
 
Hivi anakuwaga kaajiriwa maana kwa siku unakutana na nyuzi hata 40 zake tuu😂😂😂😂😂😂😂😂

Anaona watanzania ni kamaaaaaaa au basi mpumbavu huyu😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom