Maonyesho ya 127 ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa ya China yanayojulikana kama Canton Fair yamefunguliwa rasmi

Maonyesho ya 127 ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa ya China yanayojulikana kama Canton Fair yamefunguliwa rasmi

Yoyo Zhou

Senior Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
126
Reaction score
215
Maonyesho ya 127 ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa ya China yanayojulikana kama Canton Fair yamefunguliwa rasmi tarehe 15.​

Hii ni mara ya kwanza kwa maonyesho haya kufanyika kwa njia ya mtandao​
Wafanyabiashara na wateja kutoka China na nchi za nje wanaweza kufanya biashara kutoka nyumbani​

Kauli mbiu ya maonyesho hayo ni “kunufaishana mtandaoni kwa watu wote”​
Makampuni ya China na ya nchi za nje yanaweza kuonyesha bidhaa mpya kwa kutumia teknolojia ya kidijitali​

Maonyesho hayo yanayapatia makampuni ya China na ya nje fursa mpya za kibiashara za kunufaishana​

Maonyesho hayo yamevutia makampuni elfu 25 ya China​
Na yana maeneo 50 yanayoonesha aina 16 za bidhaa.​

Bidhaa zote zitaonyeshwa mtandaoni kuanzia tarehe 15 hadi 24 mwezi Juni​
Makampuni yanayoshiriki yataonyesha bidhaa zao kwa picha, video na 3D.​
Ili kuonyesha taswira ya chapa zao kwa njia mbalimbali.​

Sifa nyingine ya maonyesho hayo ni kutoa huduma za kutangaza bidhaa kupitia matangazo ya moja kwa moja.​

Na kutakuwa na studio ya matangazo ya moja kwa moja ya saa 24 kwa kila kampuni.​
 

Attachments

  • Cantonfair.mp4
    63.9 MB
Back
Top Bottom