Naona fala mwingine umekujaPiere ni kapenta.
Alitengeneza madawati akapeleka kisarawe
Wanao wanayakalia kusomea
Acha kupaniki matagaNaona fala mwingine umekuja
Wanachangia Uchumi wa KatiSasa hao mafala wana nini cha ziada
Una udhaifu wa kufikiri.Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na wananunua sana bidhaa kwenye mabanda na wamefurahi wanapita mabanda yote bila ubaguzi na kununua na kutaka maelezo.
Nimekuwa mwendaji miaka yote leo ni tofauti na miaka yote. Wahindi wamejipambanua kama sehemu ya Watanzania wengine kutembelea hayo maonyesho.
Zamani ukiona muhindi atakuwa lazima ni muonyesha bidhaa sio mtembelea mabanda safari hii ni tofauti.
Hongereni Wahindi kwa kuonyesha kujali haya maonyesho.
Mabanda mengi yamefungwa
Ila maisha ya ajabu sana,kuna mwengine hata kuingia JF na kuchangia changia mada kama wewe atakwambia hana muda yupo busy kutafuta hela.Hivi zama hizi bado kuna watu wanaenda kwenye maonyesho ya saba saba?
Wanaenda kufanya nini?
Hizo vitu ni zilipendwa, kama wewe ni mshamba au una muda wa kuzurura ovyo basi huenda sabasaba ikakuhusu.
Wahindi ndio maboss zetu kwenye viwanda vyao,ndio maboss zetu majumbani kwao na ndio matajiri zetu n.kUna udhaifu wa kufikiri.
Kwani muhindi ndio nani hapa nchini?
Waswahili wasiokata tamaa na nchi yao huwaoni miaka yote wakipndezesha sabasaba?
Ukiona wazungu waliokutawala kifikra si ndio utawalamba kabisa!
Mawazo ya kiiujima!Wahindi ndio maboss zetu kwenye viwanda vyao,ndio maboss zetu majumbani kwao na ndio matajiri zetu n.k
Mkuu sijasema sie kuwa hatuwezi ila nilichoeleza kuhusu hao wahindi hapa Tz ndio ukweli,najua hao wahindi huko Arabuni wanafanyishwa kazi za ajabu ajabu ila kwa wahindi ndio kama nilivyowaeleza.Mawazo ya kiiujima!
Inferiority complex.
Wewe kutengeneza hata pini za makaratasi sio kwamba huwezi , ila ifreriority complex inavyowasumba ,mmebakia kuota mishahara na kutegemea wahindi na wazungu kama wakombozi wa maisha yenu.
Hapo ulipo si ajabu una kadigree kamoja lakini hujwezi.
Kiingilio ni bei gani mkuu?Nenda katembelee uone mwamko wa wahindi Jana na Leo weekend umekuwa mkubwa mno weekend zao wamehamishia maonyesho ya sabasaba wao na familia zao yaani weekend hii Jana na Leo unakuta vizee vya kihindi vinatembea Hadi na mikongojo vimefurahi mno kwa out vilivyopewa
Wanawake na watoto wa kihindi yaani Kika kona hawafichi furaha Yao .
Sijawahi ona kitu kama hiki miaka yote kwenye maonyesho ya kimataifa ya sabasaba Dar es salaam Raisi Magufuli ana nyota ya kipekee
Kuna umati wa wahindi hasa
Jipe moyo mkuu, anachoweza mhindi wewe unaweza zaidi!Mkuu sijasema sie kuwa hatuwezi ila nilichoeleza kuhusu hao wahindi hapa Tz ndio ukweli,najua hao wahindi huko Arabuni wanafanyishwa kazi za ajabu ajabu ila kwa wahindi ndio kama nilivyowaeleza.
Sasa nilichokosea ni nini hapo?
Wewe kweli punga kujaa kwa wahindi sabasaba ndio kitu cha muhimu kwakoNenda katembelee uone mwamko wa wahindi Jana na Leo weekend umekuwa mkubwa mno weekend zao wamehamishia maonyesho ya sabasaba wao na familia zao yaani weekend hii Jana na Leo unakuta vizee vya kihindi vinatembea Hadi na mikongojo vimefurahi mno kwa out vilivyopewa
Wanawake na watoto wa kihindi yaani Kika kona hawafichi furaha Yao .
Sijawahi ona kitu kama hiki miaka yote kwenye maonyesho ya kimataifa ya sabasaba Dar es salaam Raisi Magufuli ana nyota ya kipekee
Kuna umati wa wahindi hasa
Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na wananunua sana bidhaa kwenye mabanda na wamefurahi wanapita mabanda yote bila ubaguzi na kununua na kutaka maelezo.
Nimekuwa mwendaji miaka yote leo ni tofauti na miaka yote. Wahindi wamejipambanua kama sehemu ya Watanzania wengine kutembelea hayo maonyesho.
Zamani ukiona muhindi atakuwa lazima ni muonyesha bidhaa sio mtembelea mabanda safari hii ni tofauti.
Hongereni Wahindi kwa kuonyesha kujali haya maonyesho.
Hukuuliza baadhi yao ili kujua kwann zamani walikuwa hawaendi huko ila mwaka huu wameenda.. au ni vyuma?Nenda katembelee uone mwamko wa wahindi Jana na Leo weekend umekuwa mkubwa mno weekend zao wamehamishia maonyesho ya sabasaba wao na familia zao yaani weekend hii Jana na Leo unakuta vizee vya kihindi vinatembea Hadi na mikongojo vimefurahi mno kwa out vilivyopewa
Wanawake na watoto wa kihindi yaani Kika kona hawafichi furaha Yao .
Sijawahi ona kitu kama hiki miaka yote kwenye maonyesho ya kimataifa ya sabasaba Dar es salaam Raisi Magufuli ana nyota ya kipekee
Kuna umati wa wahindi hasa