Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba yafana sana. Kwa mara ya kwanza wafanyabiashara Wahindi wengi wa Tanzania wahudhuria, wanunua sana

Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na wananunua sana bidhaa kwenye mabanda na wamefurahi wanapita mabanda yote bila ubaguzi na kununua na kutaka maelezo.

Nimekuwa mwendaji miaka yote leo ni tofauti na miaka yote. Wahindi wamejipambanua kama sehemu ya Watanzania wengine kutembelea hayo maonyesho.

Zamani ukiona muhindi atakuwa lazima ni muonyesha bidhaa sio mtembelea mabanda safari hii ni tofauti.

Hongereni Wahindi kwa kuonyesha kujali haya maonyesho.
Una udhaifu wa kufikiri.
Kwani muhindi ndio nani hapa nchini?
Waswahili wasiokata tamaa na nchi yao huwaoni miaka yote wakipndezesha sabasaba?
Ukiona wazungu waliokutawala kifikra si ndio utawalamba kabisa!
 
Duuuh bado watu wanaenda 7,7 kipindi hiki cha utandawazi bidhaa zipo kila sehemu. Ulikua ushamba wazamani naona watu mnarudi enzi za ujima.
 
Hivi zama hizi bado kuna watu wanaenda kwenye maonyesho ya saba saba?
Wanaenda kufanya nini?

Hizo vitu ni zilipendwa, kama wewe ni mshamba au una muda wa kuzurura ovyo basi huenda sabasaba ikakuhusu.
Ila maisha ya ajabu sana,kuna mwengine hata kuingia JF na kuchangia changia mada kama wewe atakwambia hana muda yupo busy kutafuta hela.
 
Una udhaifu wa kufikiri.
Kwani muhindi ndio nani hapa nchini?
Waswahili wasiokata tamaa na nchi yao huwaoni miaka yote wakipndezesha sabasaba?
Ukiona wazungu waliokutawala kifikra si ndio utawalamba kabisa!
Wahindi ndio maboss zetu kwenye viwanda vyao,ndio maboss zetu majumbani kwao na ndio matajiri zetu n.k
 
Mawazo ya kiiujima!
Inferiority complex.
Wewe kutengeneza hata pini za makaratasi sio kwamba huwezi , ila ifreriority complex inavyowasumba ,mmebakia kuota mishahara na kutegemea wahindi na wazungu kama wakombozi wa maisha yenu.
Hapo ulipo si ajabu una kadigree kamoja lakini hujwezi.
 
Mkuu sijasema sie kuwa hatuwezi ila nilichoeleza kuhusu hao wahindi hapa Tz ndio ukweli,najua hao wahindi huko Arabuni wanafanyishwa kazi za ajabu ajabu ila kwa wahindi ndio kama nilivyowaeleza.

Sasa nilichokosea ni nini hapo?
 
Nenda katembelee uone mwamko wa wahindi Jana na Leo weekend umekuwa mkubwa mno weekend zao wamehamishia maonyesho ya sabasaba wao na familia zao yaani weekend hii Jana na Leo unakuta vizee vya kihindi vinatembea Hadi na mikongojo vimefurahi mno kwa out vilivyopewa

Wanawake na watoto wa kihindi yaani Kika kona hawafichi furaha Yao .

Sijawahi ona kitu kama hiki miaka yote kwenye maonyesho ya kimataifa ya sabasaba Dar es salaam Raisi Magufuli ana nyota ya kipekee

Kuna umati wa wahindi hasa
Kiingilio ni bei gani mkuu?
 
Mkuu sijasema sie kuwa hatuwezi ila nilichoeleza kuhusu hao wahindi hapa Tz ndio ukweli,najua hao wahindi huko Arabuni wanafanyishwa kazi za ajabu ajabu ila kwa wahindi ndio kama nilivyowaeleza.

Sasa nilichokosea ni nini hapo?
Jipe moyo mkuu, anachoweza mhindi wewe unaweza zaidi!
Tatizo la wengi ni kuthubutu!
 
Nenda katembelee uone mwamko wa wahindi Jana na Leo weekend umekuwa mkubwa mno weekend zao wamehamishia maonyesho ya sabasaba wao na familia zao yaani weekend hii Jana na Leo unakuta vizee vya kihindi vinatembea Hadi na mikongojo vimefurahi mno kwa out vilivyopewa

Wanawake na watoto wa kihindi yaani Kika kona hawafichi furaha Yao .

Sijawahi ona kitu kama hiki miaka yote kwenye maonyesho ya kimataifa ya sabasaba Dar es salaam Raisi Magufuli ana nyota ya kipekee

Kuna umati wa wahindi hasa
Wewe kweli punga kujaa kwa wahindi sabasaba ndio kitu cha muhimu kwako
 
Hakuna kitu kama hicho na ushahidi upo!! Hakuna, watu Na makampuni yenye /wenye majina hayajafanya maonyesho. Acha uongo Mlete mada
 
Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na wananunua sana bidhaa kwenye mabanda na wamefurahi wanapita mabanda yote bila ubaguzi na kununua na kutaka maelezo.

Nimekuwa mwendaji miaka yote leo ni tofauti na miaka yote. Wahindi wamejipambanua kama sehemu ya Watanzania wengine kutembelea hayo maonyesho.

Zamani ukiona muhindi atakuwa lazima ni muonyesha bidhaa sio mtembelea mabanda safari hii ni tofauti.

Hongereni Wahindi kwa kuonyesha kujali haya maonyesho.

Stop racial profiling.
 
Hakuna kitu kama hicho na ushahidi upo!! Hakuna, watu Na makampuni yenye /wenye majina hayajafanya maonyesho. Acha uongo Mlete mada
Mbona yako makampuni Makubwa kibao au wewe unaongelea yepi labda?
 
Nenda katembelee uone mwamko wa wahindi Jana na Leo weekend umekuwa mkubwa mno weekend zao wamehamishia maonyesho ya sabasaba wao na familia zao yaani weekend hii Jana na Leo unakuta vizee vya kihindi vinatembea Hadi na mikongojo vimefurahi mno kwa out vilivyopewa

Wanawake na watoto wa kihindi yaani Kika kona hawafichi furaha Yao .

Sijawahi ona kitu kama hiki miaka yote kwenye maonyesho ya kimataifa ya sabasaba Dar es salaam Raisi Magufuli ana nyota ya kipekee

Kuna umati wa wahindi hasa
Hukuuliza baadhi yao ili kujua kwann zamani walikuwa hawaendi huko ila mwaka huu wameenda.. au ni vyuma?
 
Back
Top Bottom